Punga weweMungu akusamehe sana na akupe uponyaji wa haraka.
We takataka ulichanga bi ngapi pale mlimani cityWenye chama ndio sisi wana CCM
Huyo mfagia choo pale Lumumba akikujibu nitag mkuuWe takataka ulichanga bi ngapi pale mlimani city
Ndugu zangu Watanzania,
Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana.
Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au kaathirika kisaikolojia au kapatwa na tatizo kubwa lilomuathiri.
Nimeona anafanya vichekesho vya kitoto sana kwa kutaka kama kutumia Udini na Dini kupandikiza chuki au kutaka kuwagawa watu ili apate uungwaji mkono. Amejifanya kana kwamba ana akili nyingi sana kwa kuweka wavu au mtego wa kidini kuwavuta watu na kuwapandikiza hisia za Udini.
Nimeona ni kama anataka kuonyesha kuna vita vya kidini vinavyopaswa kuanza kupiganwa na wakrito wote na yeye anatafuta wanajeshi wa kuungana naye kutoka madhehebu mbalimbali ya Dini kumsaidia au anataka kukodi askari wa kumsaidia kupigana baada ya kuona yeye binafsi hawezi vita hivyo. Kwa hiyo anajaribu kutaja kutafuta washirika wa kuungana naye katika ajenda yake hiyo chafu.
Nimegundua ameona ni kama hana uwezo wa kushawishi watu na hivyo anaona pengine akitumia silaha ya Udini na Dini pengine atafanikiwa haraka na kupata matokeo anayoyahitaji. Jambo ambalo hata hivyo hawezi kufanikiwa.
Nimeshangaa na kumshangaa sana na kumuona pengine anaumwa au anatatizo kubwa kichwani. Maana kutoa na kuipa siku serikali kufungulia kanisa lake ni kichekesho kikubwa sana. Ni dharau kubwa sana kwa serikali yetu na ni jambo ambalo haliwezekani na haliwezi kufanikiwa hata kidogo.Gwajima hawezi kuitisha serkali yetu wala kuiamrisha kwa lolote lile.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Kwani Lucas mwashamba ni mwanamke?Kulwa na Doto wamenyonya? 😂🥷
Acha ujinga wako hapa weweWewe kasutane na mashoga wenzio huko, gwaji boya sio size yako
Imesema mamlaka iliyo juu zaidi. Kujaribu kwenda kinyume ni insubordination isiyosahemeka...Ndugu zangu Watanzania,

Acha ujinga pumbav kbs unamjibu wew kama nan? Usilete Uchawa penye hoja za msingi!! Watanzania adui namba moja kwasasa Tanzania ni hawa machawa!! Shenzy kbs acha tabia kama za huyu mama hapo chini 👇👇👇Ndugu zangu Watanzania,
Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana.
Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au kaathirika kisaikolojia au kapatwa na tatizo kubwa lilomuathiri.
Nimeona anafanya vichekesho vya kitoto sana kwa kutaka kama kutumia Udini na Dini kupandikiza chuki au kutaka kuwagawa watu ili apate uungwaji mkono. Amejifanya kana kwamba ana akili nyingi sana kwa kuweka wavu au mtego wa kidini kuwavuta watu na kuwapandikiza hisia za Udini.
Nimeona ni kama anataka kuonyesha kuna vita vya kidini vinavyopaswa kuanza kupiganwa na wakrito wote na yeye anatafuta wanajeshi wa kuungana naye kutoka madhehebu mbalimbali ya Dini kumsaidia au anataka kukodi askari wa kumsaidia kupigana baada ya kuona yeye binafsi hawezi vita hivyo. Kwa hiyo anajaribu kutaja kutafuta washirika wa kuungana naye katika ajenda yake hiyo chafu.
Nimegundua ameona ni kama hana uwezo wa kushawishi watu na hivyo anaona pengine akitumia silaha ya Udini na Dini pengine atafanikiwa haraka na kupata matokeo anayoyahitaji. Jambo ambalo hata hivyo hawezi kufanikiwa.
Nimeshangaa na kumshangaa sana na kumuona pengine anaumwa au anatatizo kubwa kichwani. Maana kutoa na kuipa siku serikali kufungulia kanisa lake ni kichekesho kikubwa sana. Ni dharau kubwa sana kwa serikali yetu na ni jambo ambalo haliwezekani na haliwezi kufanikiwa hata kidogo.Gwajima hawezi kuitisha serkali yetu wala kuiamrisha kwa lolote lile.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mkuu, Gwajiboy amewasemea wananchi.Ndugu zangu Watanzania,

Hakuna udini wala ukabila kinachosumbua wengi ni uchawa, unafiki na ujinga mwingine. Anayoyasema Gwajima kimantiki yanasemwa na watu wengi tu mitaani.Ndugu zangu Watanzania,

Wewe katibu wake?Ndugu zangu Watanzania,

😂😂😂Ndugu zangu Watanzania,