GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mimi ni akili kubwa zaidi ya ukoo wako wote
Unajua ukoo wangu wewe punda, jizungumzie wewe na mimi. Ukoo wangu unakuhusu nini wewe chawa? Humsifii mama yako, unajipendekeza kwa mama Abdul. Nikwambie hivi, baba yako alikosea sana kukuzaa, mama yako pia angekutupa chooni.....Kwa sababu huna akili wala maana. Unachoongea hakina point.....Unataka tuweke polls hapa kwa watumiaji wa jamiiforums, tuone mimi na wewe nani mjinga.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana.

Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au kaathirika kisaikolojia au kapatwa na tatizo kubwa lilomuathiri.

Nimeona anafanya vichekesho vya kitoto sana kwa kutaka kama kutumia Udini na Dini kupandikiza chuki au kutaka kuwagawa watu ili apate uungwaji mkono. Amejifanya kana kwamba ana akili nyingi sana kwa kuweka wavu au mtego wa kidini kuwavuta watu na kuwapandikiza hisia za Udini.

Nimeona ni kama anataka kuonyesha kuna vita vya kidini vinavyopaswa kuanza kupiganwa na wakrito wote na yeye anatafuta wanajeshi wa kuungana naye kutoka madhehebu mbalimbali ya Dini kumsaidia au anataka kukodi askari wa kumsaidia kupigana baada ya kuona yeye binafsi hawezi vita hivyo. Kwa hiyo anajaribu kutaja kutafuta washirika wa kuungana naye katika ajenda yake hiyo chafu.

Nimegundua ameona ni kama hana uwezo wa kushawishi watu na hivyo anaona pengine akitumia silaha ya Udini na Dini pengine atafanikiwa haraka na kupata matokeo anayoyahitaji. Jambo ambalo hata hivyo hawezi kufanikiwa.

Nimeshangaa na kumshangaa sana na kumuona pengine anaumwa au anatatizo kubwa kichwani. Maana kutoa na kuipa siku serikali kufungulia kanisa lake ni kichekesho kikubwa sana. Ni dharau kubwa sana kwa serikali yetu na ni jambo ambalo haliwezekani na haliwezi kufanikiwa hata kidogo.Gwajima hawezi kuitisha serkali yetu wala kuiamrisha kwa lolote lile.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe ndiyo kichekesho na una Tatizo kichwani acha kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu jukwaani, Kaa ukijua kuwa Gwajima alifungiwa kanisa lake kwa njia za uonevu hskuwa na kosa lolote zaidi ya kukataa utekaji mauaji uonevu wa ibilisi wa ccm ikiwemo kuwabambikia kesi chadema, kulifungia kanisa kwa njia haramu za kishetani alafu utake Gwajima akae kimya huo ni upumbavu mkubwa, acheni mambo ya hovyo acha kuvuta bangi utakuwa kichaa mda si mrefu
 
Mimi ni akili kubwa zaidi ya ukoo wako wote
Akili kubwa ni kuwabambikia kesi za uongo kuwateka kuwaua kuwaonea kuwapora luzuku chadema? Akili kubwa ni kushabikia vitendo haramu vya kishetani toka kwenu ibilisi wa ccm? Utaacha lini kuvuta Bangi?
 
Gwajima hana koso lolote kwani yeye alikemea vitendo haramu vya kishetani vinavyofanywa na ibilisi wa ccm
 
Hakuna udini wala ukabila kinachosumbua wengi ni uchawa, unafiki na ujinga mwingine. Anayoyasema Gwajima kimantiki yanasemwa na watu wengi tu mitaani.

Lipi kati ya alilosema Gwajima ambalo halilalamikiwi mtaani?? TISS wapo wanajua kwa kuwa ni wajibu wao kutafuta, kusikiliza, na kuchambua na kuchakata taarifa, maoni na ushauri unaotolewa na wananchi kisha kumshauri Rais. Wanajua.

Mimi na wewe tunajua kuwa Kuna migongano isiyo na Afya baina ya Serikali na baadhi ya Taasisi za kidini. Inajulikana!

Gwajima anaposema mambo haya na mengine yasiporekebishwa wahanga wanaweza wasipigie kura CCM huo ni udini?

Gwajima anaposema hapa nchini watu wanapotezwa, wanatekwa na hata kuuawa na kakikundi ka wahuni ambao si vyombo vya dola, na kwamba haya mambo yasipokoma, huenda wahanga wasipigie kura CCM ni kosa?

Wewe chambua, jibu utakavyoweza lakini hoja za akina Gwajima na wengine zinatakiwa kujibiwa kwa vitendo kwa hayo yanayolalamikiwa kukoma na si kujitokeza kujibu kwa niaba ya Serikali.

Malalamiko yaliyoko kwenye jamii hayatamalizwa na haya majibu ya kiitikadi zaidi kuliko uhalisia.

Mnaojitokeza humu ku counter hoja zinazotolewa na wananchi dhidi ya Rais, CCM na Serikali hamsaidii lolote zaidi ya kuzidi kuwasha moto juu ya moto. Cha msingi, yanayolalamikiwa yafanyiwe kazi tu basi, mambo yaende. Utekaji ukome, watu waruhusiwe kutoa maoni yao ilimradi wasivunje Sheria.

Rais mstaafu Jakaya Kikwete alijua sana kucheza vizuri karata zake japo analalamikiwa kwa mengi lakini alikuwa anajua sana kuuma, na.kupulizq sana. Rais Samia Suluhu Hassani anakwama wapi? Asiwasikilize machawa wa aina ya Lucas Mwashambwa. Hawampendi na wanampotosha.
ibilisi wa ccm ya sasa ni hatari sana hawataki kusikia mtu anakemea matendo yao haramu ya kishetani lazima watamfanyia vitu vya hovyo kwa kuwatumia Polisiccm mahakamaccm
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana.

Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au kaathirika kisaikolojia au kapatwa na tatizo kubwa lilomuathiri.

Nimeona anafanya vichekesho vya kitoto sana kwa kutaka kama kutumia Udini na Dini kupandikiza chuki au kutaka kuwagawa watu ili apate uungwaji mkono. Amejifanya kana kwamba ana akili nyingi sana kwa kuweka wavu au mtego wa kidini kuwavuta watu na kuwapandikiza hisia za Udini.

Nimeona ni kama anataka kuonyesha kuna vita vya kidini vinavyopaswa kuanza kupiganwa na wakrito wote na yeye anatafuta wanajeshi wa kuungana naye kutoka madhehebu mbalimbali ya Dini kumsaidia au anataka kukodi askari wa kumsaidia kupigana baada ya kuona yeye binafsi hawezi vita hivyo. Kwa hiyo anajaribu kutaja kutafuta washirika wa kuungana naye katika ajenda yake hiyo chafu.

Nimegundua ameona ni kama hana uwezo wa kushawishi watu na hivyo anaona pengine akitumia silaha ya Udini na Dini pengine atafanikiwa haraka na kupata matokeo anayoyahitaji. Jambo ambalo hata hivyo hawezi kufanikiwa.

Nimeshangaa na kumshangaa sana na kumuona pengine anaumwa au anatatizo kubwa kichwani. Maana kutoa na kuipa siku serikali kufungulia kanisa lake ni kichekesho kikubwa sana. Ni dharau kubwa sana kwa serikali yetu na ni jambo ambalo haliwezekani na haliwezi kufanikiwa hata kidogo.Gwajima hawezi kuitisha serkali yetu wala kuiamrisha kwa lolote lile.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe huwa unatumwa kupost tu humu huna uwezo wa kujibu kile alichosema Gwajima. Acha kutumika kama boya
 
Unajibu wewe km nani? Je malalamiko yake wewe ndo aliyekulalamikia acha ushamba ndg tafuta pesa uchawa hata mwalimu Nyerere alikataza huo ni unafikia
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana.

Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au kaathirika kisaikolojia au kapatwa na tatizo kubwa lilomuathiri.

Nimeona anafanya vichekesho vya kitoto sana kwa kutaka kama kutumia Udini na Dini kupandikiza chuki au kutaka kuwagawa watu ili apate uungwaji mkono. Amejifanya kana kwamba ana akili nyingi sana kwa kuweka wavu au mtego wa kidini kuwavuta watu na kuwapandikiza hisia za Udini.

Nimeona ni kama anataka kuonyesha kuna vita vya kidini vinavyopaswa kuanza kupiganwa na wakrito wote na yeye anatafuta wanajeshi wa kuungana naye kutoka madhehebu mbalimbali ya Dini kumsaidia au anataka kukodi askari wa kumsaidia kupigana baada ya kuona yeye binafsi hawezi vita hivyo. Kwa hiyo anajaribu kutaja kutafuta washirika wa kuungana naye katika ajenda yake hiyo chafu.

Nimegundua ameona ni kama hana uwezo wa kushawishi watu na hivyo anaona pengine akitumia silaha ya Udini na Dini pengine atafanikiwa haraka na kupata matokeo anayoyahitaji. Jambo ambalo hata hivyo hawezi kufanikiwa.

Nimeshangaa na kumshangaa sana na kumuona pengine anaumwa au anatatizo kubwa kichwani. Maana kutoa na kuipa siku serikali kufungulia kanisa lake ni kichekesho kikubwa sana. Ni dharau kubwa sana kwa serikali yetu na ni jambo ambalo haliwezekani na haliwezi kufanikiwa hata kidogo.Gwajima hawezi kuitisha serkali yetu wala kuiamrisha kwa lolote lile.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mjinga mmoja unajionaga una umuhimu 🤣🤣🤣
Kwamba kunamtu atasubiria utumbo wako?? Kwendaaa
 
Katika yote utakayo jibu hoja za Gwajima mimi naomba unjjibie kwa umakini hoja ya Gwajima, je Watendaji wote wa Tume ya Uchaguzi wangeteuliwa na Lisu je CCM mgeenda kwenye uchaguzi?
 
Back
Top Bottom