GE2025 Nitaijibu hotuba ya Askofu Gwajima kwa kina muda wowote ule kuanzia sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Asante kwa uthubutu na munkari.
Lakini utaijibu wewe kama nani?
 
Lucas mwashamba, huyu kijana anahitaji ulinzi na uangalizi wako wa karibu.
 
Tulia wewe, wenye chama chao wametulia wanakula mema ya chama halafu wewe pangu pakavu kelele zisizo na maana nyiiingi bila Shaka hata wao wanakushangaa ulivyo na kiherehere
 
Hatubabaishwi na ma "VUVU ZELA" .
watanzania hatuwezi kukubali kugawanywa kwa misingi ya kidini. Askofu Gwajima na kundi jingine kama kina polepole na wengine walio jificha wana kashifu uongozi kwa mama kisa tu ni mwisilamu, sisi wakristu hatukubali kuyumbishwa na kauli za KINAFIKI na CHUKI isiyo na maana.
Tutaenda na Mama hadi mwisho 2030.
 
Una mavi kichwani wewe, huwezi kujibu hoja hata moja ya Gwajima, utakuja kujambajamba humu jukwaani tu
 
Tuondolee ukhanithi wako hapa mbwiga wewe.
 
Mgombea haramu huyo
 
Utajibu kama nani wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…