Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

Mkuu shida ipo uwezi kuweka malengo juu ya malengo ya mtu mwingine chief ,unajua unachokifanya kua sio bali una force mambo au ni kuachie uzi basi nianzishe mpya kama huu umeupenda .
 
Mkuu shida ipo uwezi kuweka malengo juu ya malengo ya mtu mwingine chief ,unajua unachokifanya kua sio bali una force mambo au ni kuachie uzi basi nianzishe mpya kama huu umeupenda .
Kuwa mwelewa basi Mkuu nashangaa unavosema unizilie uzi, me Sina bidhaa nilizotangaza humu kuwa nauza, me Nilikuwa mteja na nilikufata kukueleza shida yangu ukasema hudeal nazo Kila mtu akaendelea na mambo mengine

Kaja mtu mwingine amenambia kuwa anaweza kunisaidia ila me nishapata msaada kwingine, kwahiyo ulitaka nimfukuze au? Au ulitaka nimjibu nini labda tushauriane
 
Unazingua.
 
Unazingua.
Inawezekana una matatizo mengi sana kama ilivo kwa binadamu wengine, ila miongoni kwa hayo matatizo "UELEWA" ni Moja wapo, maana Hadi hivi sasa sijaona logic kwenye kulalamika kwako

Labda niulize tu Mkuu inawezekana mie ndio sielewi, Hivi Kuna sehemu nimesema me nauza chochote humu kwenye Uzi wako? Nini hasa logic ya malalamiko yako?
 
Pia kuna baadhi ya Vifaa kama Lath Machines Compressors na mitambo mablimbali ya kufanyia kazi ngumu unaweza fungua video hapo chini ukaangalia mwenyewe pia order zake tunachukua.
 
Attachments

  • Digxam team.mp4
    26.4 MB
Pia kuna baadhi ya Vifaa kama Lath Machines Compressors na mitambo mablimbali ya kufanyia kazi ngumu unaweza fungua video hapo chini ukaangalia mwenyewe pia order zake tunachukua.
Samsung 21ultra iagharimu kias gain mpya au used. 128GB au 256GB.
 
Me nahitaji plotters machine kwa ajili ya kukatia sticker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…