Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

Mkuu nimeshaweka, lakini kule ndani kuna shopping nyingi, mfano kariakoo online shopping, East African na nyinginezo, so ungesema specific ipi tuweke hizi bidhaa tunazozihitaji ama popote tu utakapoweka litashughulikiwa?

Pia naomba nipe bei maana kule sijui itachukua muda gani kujibiwa, Asante!!
 
Asente mkuu popote ukiewa sawa tu ,admin ataangalia kisha atakusaidia kuhamisha post yako ili ifanyiwe kazi.
 
Tumezipunguza zimebaki chache sana.
 
Hii cherehani naipata kwa bei gani mkuu

 
Nauza viwanja viwili

viko maeneo mazuri hakuna changamoto ya mabonde wala madimbwi

size 30*25 vyote vinalingana

kimoja mbezi makabe kingine goba mpakani

maji umeme barabara vipo

goba 25mil

mbezi makabe 18mil.

call 0713096076
I beg your pardon! VIWANJA, NYUMBA?!
 
Mkuu Nitapata Disck Top computer used kwa 150k nataka ya kurusha nyimbo studio, iwe na kioo chake(screen)
 
𝑩𝒖𝒕 π’Žπ’† π’‰π’–π’‹π’‚π’π’Šπ’ƒπ’– π’π’Šπ’π’Šπ’„π’‰π’ π’Œπ’–π’–π’π’Šπ’›π’‚
mkuu umeuliza nini sijakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…