๐๐ Tunashukuru kwa kujaliHuyo ni mimi nawaletea picha๐
Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama.
Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
View attachment 2571342
Umewahi kukabwa na kiu kikali halafu ukaona glass ya maji baridi yanayotoa umande umande?Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama.
Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
View attachment 2571342
Hilo harage picha ya kwanza aliyetengeneza ni FUNDI HASWA hata huo wali upo kiwango KIUFUPI ALIYEPIKA NI MASTER
Hii ni kwa alie kwenye stage ya baleheUwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama.
Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
View attachment 2571342
Pengine hujaelewa hoja. Hapa tunazungumzia alichoumba Mungu, kinachovutia kutazama.Vijana mnachekesha! Pesa na mwanamke utachagua nini?
Kama picha huna useme tukupe๐View attachment 2571350
Atakuwa anatoka North/central Africa, jina lake silijui ila nafurahi sana kumuona๐๐๐๐ hivi huyu jamaa ni nani?? Ni mtanzania??
So do i, anafurahisha sana ๐Atakuwa anatoka North/central Africa, jina lake silijui ila nafurahi sana kumuona๐
Hakuna hakuna
Malundo au sio ๐Mapesa