Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
😂😂 Tunashukuru kwa kujaliHuyo ni mimi nawaletea picha😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 Tunashukuru kwa kujaliHuyo ni mimi nawaletea picha😂
Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama.
Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
View attachment 2571342
Umewahi kukabwa na kiu kikali halafu ukaona glass ya maji baridi yanayotoa umande umande?Uwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama.
Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
View attachment 2571342
Hilo harage picha ya kwanza aliyetengeneza ni FUNDI HASWA hata huo wali upo kiwango KIUFUPI ALIYEPIKA NI MASTER
Hii ni kwa alie kwenye stage ya baleheUwa nasema, kama kunapahala Mungu alituliza akili katika uumbaji, basi ni wakati anamuumba mwanamke. Mwili wa mwanamke aisee uliumbwa vizuri, unavutia kutazama.
Kama unahisi kunakitu Mungu aliumba kinavutia kutazama zaidi ya mwili wa mwanamke, twambie ni kipi.
View attachment 2571342
Pengine hujaelewa hoja. Hapa tunazungumzia alichoumba Mungu, kinachovutia kutazama.Vijana mnachekesha! Pesa na mwanamke utachagua nini?
Kama picha huna useme tukupe😂View attachment 2571350
Atakuwa anatoka North/central Africa, jina lake silijui ila nafurahi sana kumuona😂😂😂😂 hivi huyu jamaa ni nani?? Ni mtanzania??
So do i, anafurahisha sana 😅Atakuwa anatoka North/central Africa, jina lake silijui ila nafurahi sana kumuona😂
Hakuna hakuna
Malundo au sio 😎Mapesa