Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini shughuli ndio imeishia hapa kwa Yanga

Endeleeni kujifariji.
Kule yanga hatoboi uwezekano wa kushinda ni mdogo sana..
 
Kuna watu wamejaa chuki, Jana walipata fursa ya kuonesha chuki zao hadharani.

Sasa ole wao Yanga irudi na kombe hapa watahama nchi wenyewe.
Kila mtu ana timu yake usifosi wote tushangilie timu yako.

Sisi tulitolewa kwa penati nyie mkaandaa na tamasha kwa ajili ya kutucheka

Then mnakuja na pitiful face ukidhani sisi ni sawa na Mr T

Na bado second leg inakuja
 
Na usisahau tayari Yanga INA medali na Mayele ndio mfungaji bora ana kiatu cha dhahabu tayari cha CAF.
Medali gani?

NBC ambayo hadi Azam anayo?

Kiatu cha dhahabu kwa aina moja ya mashindano tena yale yalio duni kabisa confederation sio big deal kama kiatu cha Dhahabu cha goli bora kwa mashindano yote ya Africa alichochukua Sakho.
 
Yanga IPO mashindanoni mpaka mwisho wa mashindano, endeleeni kuteseka, na mtaangalia Yanga wakivaa medali na nyinyi mtuoneshe za kwenu.
Unafurahi kuwa mwisho wa mashindano au kuchukua kombe?

Medali gani wewe ambayo hapa umeikazania?

Medali ambayo wewe unaichukua na sisi tumeichukua, kama unaizungumzia CAF confederation hiyo ni ndoto kama ambavyo CAF waliwapost mkiwa kitandani mnaota kombe
 
Najua umeandika kishabiki lakini ukweli Ni kwamba Yanga ndio wameondolewa hivyo.

Huwezi kupoteza kwenye uwanja wa nyumbani afu utarajie kuenda kushinda ugenini.Bora hata wangetoa sare kuliko kupoteza mazima.

Mechi ijayo Yanga atakufa mbili mtungi nimekaa pale.
 
Maana muarabu huku alikuja kutafuta saree, cha kushangazaa kapata ushindiiiiii.

Kule kwake ni kuwapeleka puta puta utopolooo hadi wasemee walifikajee final
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Medali gani?

NBC ambayo hadi Azam anayo?

Kiatu cha dhahabu kwa aina moja ya mashindano tena yale yalio duni kabisa confederation sio big deal kama kiatu cha Dhahabu cha goli bora kwa mashindano yote ya Africa alichochukua Sakho.
Boraa umuambieeeee.
 
km unajua boli na uliangalia yanga msimu wote huu huwezi kumpa USM ALGER ubingwa while kuna dkk zingine 90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…