Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Mbona kawaidaa...kunya anye kuku akinya bata kaharisha...hivi mnajisahau nyie humu eee? Yani mmejitoa kabisa kwenye kamati ya roho mbaya ambayo Yanga ilikua nayo kwa muda mrf..kuanzia kupokea wageni kuvaa jezi zao pindi Simba ikicheza nao n.k...umesahau kabisa juzi tuu hapa mashabiki wakaenda kwny tamasha la kuicheka Simba wakiongozwa na Ally kamwe..mmesahau kabisa thread lukuki za kuikejeli Simba..sema tuu ndivyo tulivyo hakuna mwenye afadhali kati ya mashabiki wa Simba na Yanga...Kuna watu wamejaa chuki, Jana walipata fursa ya kuonesha chuki zao hadharani.
Sasa ole wao Yanga irudi na kombe hapa watahama nchi wenyewe.