Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais Samia ataendelea na Urais baada ya 2025

Kama wewe unalipa Kodi PAYE, afu mwisho wa SIku unasikia watu wamepiga pesa afu wanaishia kusutwa tu badala ya kurudisha hela inauma sana. Aiseee tunafanyia KAZI watu. Mishahara yetu inakatwa kodi ili watu wale badala ya kuleta maendeleo
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Hiki kipengele kimenifikirisha sana
 
Umeelewa alicho sema.amesema ni bora kipindi cha JPM wizi ulikuwepo ndio ila sio kama wa kipindi hiki huu umezidi mzee
Hakuna tofauti hapo sema tofauti ya kipindi cha Magufuri na Samia ,ni kwamba Samia ni mtu anaye ukubali ukweli hata kama unauma na ndio maana ameruhusu mdhibiti wa serikali kuuweka hadharani wizi huo ,maana alikuwa na uwezo wa kumzuia asiuweke wazi na ww usinge ujua.

Lakini Magu alikuwa ni mtu asiye penda ukweli unao umiza na ndio maana alimtoa profesa Asad baada ya kufichua ubadhirifu wa matrion ya hela.
Nimacho maanisha ni kuwa kwa sasa una uona wizi kwasababu unafichuliwa, lakini kwa magu haukuonekana kwasababu ulikuwa unafichwa.
 
Siipendi CCM na sijawahi kuipa kura ila SSH nitampa kura yangu ya urais!! Ubunge nitampa upinzani,udiwani upinzani!! Huo ndio msimamo wangu!! Nitampigia debe mama mpaka kwenye walevi!!
 
Usijali mkuu hii dunia tunayoishi ni movie tu Wala sio halisi kwa hiyo usi panic, hii nchi ya Tanzania ndio scene ya ufisadi kwenye hiyo movie
 
Rais gani anamtukana mwizi stupid?. Huyo amalize aondoke asigombee Tena.
Yaani mwizi anakuibia nyumbani kwako unamuona kisha unamuambia stupid wewe toka hapa tuache.
 

Siyo kusutwa tu, hafukuzwi kazi japo anahamishiwa kitengo kingine aisee
 
Nyie Sukuma Gang mna kichaa, mtaendelea kutoamini hadi 2030
 
Kipindi cha jiwe ndio alikuwa akiiba hadi akashindwa kuajiri wafanyakazi na kuongeza mishahara

Samia anaajiri na kuongeza mishahara bado miradi ya jiwe aliyoianzisha kwa pupa
 
Habari imejikita zaidi kwa Samia we unajikita na jiwe.....akili za wapi hizi?
 
Umeelewa alicho sema.amesema ni bora kipindi cha JPM wizi ulikuwepo ndio ila sio kama wa kipindi hiki huu umezidi mzee
Kipindi cha jiwe 1.5 trilioni ilionekana kuibwa, wizi gani umefikia 1.5 t awamu hii?
 
Deep state ya Tanzania sijui ni akina Nani, ila mataifa yaliyomakini angestep down Kwa maslahi mapana ya taifa. kama Trump alivyofanyiwa USA.
Deep State ya Tz ingekuwa imelala ungekuta hadi leo nchi hii watu wanatekwa na miili yao kuokotwa
 
unakatwa PAYE??????.......kwani ajira zimetoka?????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yaani mwizi anakuibia nyumbani kwako unamuona kisha unamuambia stupid wewe toka hapa tuache.
Magufuli aliwahi kumfunga nani kwenye wizi wa ripoti ya CAG? Au ripoti kipindi hicho kila kitu kilikuwa safi? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Namuomba Raisi wangu mpendwa ampe rufaa huyu mgonjwa Tanzania anahitaji specialist sio daktar wa kawaida kama yeye aking'ang'ania mgonjwa atamfia mikononi mwake.
 
Kipindi cha jiwe ndio alikuwa akiiba hadi akashindwa kuajiri wafanyakazi na kuongeza mishahara

Samia anaajiri na kuongeza mishahara bado miradi ya jiwe aliyoianzisha kwa pupa
Lakini yeye haanzishi mradi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…