Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Habari za jioni!
Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.
Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa.
Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa!
Hiyo vita hapo Mashariki ya Kati Ina agenda ambayo imejificha ndani yake. Sio ajabu Hamas na Lebanon na kina Yemen wanacheza mchezo wa kuigiza. Najaribu kufikiri
Ngoja tuone