Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Israel intelligence ijue Walipo viongozi wa Lebanon na Hammas lakini haijui Mateka walipo. Israel ni washenzi Sana.

Habari za jioni!

Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.

Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa.
Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa!

Hiyo vita hapo Mashariki ya Kati Ina agenda ambayo imejificha ndani yake. Sio ajabu Hamas na Lebanon na kina Yemen wanacheza mchezo wa kuigiza. Najaribu kufikiri

Ngoja tuone
mkuu hao mateka weshauwawa wote
 
Hamasi wanatumia mateka kama kinga ukirusha boom kumuuwa mkuu wa hamasi unauwa na mateka. Kinachofanyika wanataka wamuuwe peke yake wawaokoe mateka. Ndio operstion ngumu inayo endelea Nasrallah alikuwa anazuwia wasiachiwe sasa na yeye wame mueliminaye inamaana sasa mateka lazima waachiwe maana Israel anazidi eliminate wakuu wa kijeshi wa Iran and Israel siku sio nyingi Mkuu wa Huthi atauwawa keep cool
Haya amka ukakojoe
 
Msimamo wake huo hafiki mbali, atakufa.

Sera ya Israel sasa ni kuua viongozi wote wanaoleta zengwe.

Hata Ayatollah wa Iran leo wamemficha kusikojulikana.

Ukiona mpaka Iran kashituka, elewa kuwa mbinu wanazozitumia wayahudi katika kuwaangamiza viongozi wa mahasimu wao si za dunia hii.
Israhell na shosti zake hawajaanza Jana wala hawataishia leo kuwaua hao viongozi ishu baada ya kuwaua ndio makundi yanakufa
 
Habari za jioni!

Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.

Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa.
Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa!

Hiyo vita hapo Mashariki ya Kati Ina agenda ambayo imejificha ndani yake. Sio ajabu Hamas na Lebanon na kina Yemen wanacheza mchezo wa kuigiza. Najaribu kufikiri

Ngoja tuone
Kuokoa mateka sio sawa na kuua watu, ukitaka kuokoa mateka maana ujilinde wewe kwanza kisha mateka ni jambo gumu sana, tofauti na kudondosha bomu kuua watu
 
Israhell na shosti zake hawajaanza Jana wala hawataishia leo kuwaua hao viongozi ishu baada ya kuwaua ndio makundi yanakufa
Makundi hata yakifa yatatengenezwa mengine. Silaha zitatestiwa na zitauzwa wapi yakifa yote? Soko la silaha Africa ni dogo hatuna pesa wala wafadhili wenye visima vya mafuta. Kidogo hapo Congo soko si baya sana sababu ya dhahabu, Nijeria kidogo napo sijui ni mafuta. Huko mashariki ya kati ndo kwenyewe, pana biashara Mujarab.
 
Habari za jioni!

Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.

Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa.
Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa!

Hiyo vita hapo Mashariki ya Kati Ina agenda ambayo imejificha ndani yake. Sio ajabu Hamas na Lebanon na kina Yemen wanacheza mchezo wa kuigiza. Najaribu kufikiri

Ngoja tuone
Umeshawahi kuona mwizi anavyorudisha alivyoviiba? Ndiyo wanavyotakiwa kufanya, maana watafutaji wameapa kutotafuta mtu ila wataitumia kama sababu ya kufanya yao.
Eneo la Gaza kwa jinsi lilivyo, ni maigizo kuduani wameshindwa kuwapata ila watu fulani walivyo Malimbolela wanashangilia eti wameshindwa kuwapata
 
Mateka wako na Yahya Sinwar aliyekuwa ndiye mkuu wa Hamas Gaza na sasa ndiye mrithi wa Kamanda mkubwa wa Hamas Idmael Haniyeh aliyeuliwa mwezi Julai akiwa Iran.

Sinwar ni mkorofi na mtata kuliko akina Haniyeh au Khaled Meshal. Yeye haamini katika suluhu ya majadiliano
Lete hadithi nyingine, Sinwar hayupo tena.
 
Lazima wanyooshwe Magaidi mpaka wawatoe mateka wenyewe
Wawarudishe kama walivyowachukua
Ni kipigo mpaka waogope siku nyingine hata wakimuona muisrael wamuamkie shikamoo 😁
In addition wanataka siku nyingine Taifa lolote litafakari kabla yakupanga mauwaji yao. Tukio lakutisha linakuja wa Iran kama wana akili wanapaswa kuanza kuiama nchibyao maana ni vumbi uwenda kusiweko iran Netanyahu ameapa kwa dam na roho yake kwa ajili ya kizazi chake acha kabisa
 
Habari za jioni!

Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.

Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa.
Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa!

Hiyo vita hapo Mashariki ya Kati Ina agenda ambayo imejificha ndani yake. Sio ajabu Hamas na Lebanon na kina Yemen wanacheza mchezo wa kuigiza. Najaribu kufikiri

Ngoja tuone
Hata mimi nilijiuliza same thing
 
Mkuu pamoja na kwamba Israel imepata msaada wa kiinteligensia wa US haijagundua mateka walipo!
Kama ingejua isingechukua mwaka mzima! Sasa hivi inatumia nguvu kama njia ya kulazimisha Hamas waachie mateka!
Nadhani hii ndiyo operation ambayo Israel imefeli kuliko zote ilizowahi kufanya ya kukomboa mateka!
Entebe mission ilichukua siku 4 kukamilisha zoezi la kuwakomboa mateka! Na wakati wa operation ilichukua muda mfupi kuwakomboa!
 
Habari za jioni!

Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.

Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa.
Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa!

Hiyo vita hapo Mashariki ya Kati Ina agenda ambayo imejificha ndani yake. Sio ajabu Hamas na Lebanon na kina Yemen wanacheza mchezo wa kuigiza. Najaribu kufikiri

Ngoja tuone
Kabisa. Hamas walichokoza nyuki. Ninachokiona kwa Israel ni kuwafuta Hamas na Hezbollah mpaka shimo la mwisho. Kisingizio ni kutafuta mateka wake.

Amini serikali ya Lebanon inashangilia hili Jambo ndani kwa ndani. Naamini hao Hezbollah wanakinzana na mambo mengi ya serikali kitu ambacho ni kama wapo ndani ya Lebanon kimabavu kwa kutumia power ya Iran.

Israel ikimalizana na hawa italianzisha na Iran pia.
 
Hamasi wanatumia mateka kama kinga ukirusha boom kumuuwa mkuu wa hamasi unauwa na mateka. Kinachofanyika wanataka wamuuwe peke yake wawaokoe mateka. Ndio operstion ngumu inayo endelea Nasrallah alikuwa anazuwia wasiachiwe sasa na yeye wame mueliminaye inamaana sasa mateka lazima waachiwe maana Israel anazidi eliminate wakuu wa kijeshi wa Iran and Israel siku sio nyingi Mkuu wa Huthi atauwawa keep cool
Wewe anga za kimataifa nimekuvua vyeo tangu ulipotabiri Putin hamalizi mwaka 2022
Sasa 2024 mwishoni bado yupo hai madarakani anagawa dozi kwa wastani kule Ukraine.
Za ndani bongo upo vizuri.
 
Back
Top Bottom