Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kweli kabisa. Atakuwa hafuatilii. Kipindi kile wanajeshi wamewaokoa mateka sijui sita lakini waliua raia zaidi ya 200. Baadae tena wakaenda kuokoa mateka, mateka wakaishia kuuawa. Hamas wakasema ni Israel, na Israel nao wakasema ni Hamas imewaua. Njia nzuri ya kuokoa mateka ni kubadilishana matekaTofautisha kuokoa na kuua mzee mwenzagu kuua is very simple lakin kuukoa ni habari nyingine
Israel anajua mateka walipo lakin sasa je unawaokoa okoa je? Hilo ndo swali
Israel kila anapojaribu kuwaokoa hao mateka huwa anaishia kuwaua tuKweli kabisa. Atakuwa hafuatilii. Kipindi kile wanajeshi wamewaokoa mateka sijui sita lakini waliua raia zaidi ya 200. Baadae tena wakaenda kuokoa mateka, mateka wakaishia kuuawa. Hamas wakasema ni Israel, na Israel nao wakasema ni Hamas imewaua. Njia nzuri ya kuokoa mateka ni kubadilishana mateka
Mateka wako na Yahya Sinwar aliyekuwa ndiye mkuu wa Hamas Gaza na sasa ndiye mrithi wa Kamanda mkubwa wa Hamas Idmael Haniyeh aliyeuliwa mwezi Julai akiwa Iran.Habari za jioni!
Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.
Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa.
Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa!
Hiyo vita hapo Mashariki ya Kati Ina agenda ambayo imejificha ndani yake. Sio ajabu Hamas na Lebanon na kina Yemen wanacheza mchezo wa kuigiza. Najaribu kufikiri
Ngoja tuone
Hamasi wanatumia mateka kama kinga ukirusha boom kumuuwa mkuu wa hamasi unauwa na mateka. Kinachofanyika wanataka wamuuwe peke yake wawaokoe mateka. Ndio operstion ngumu inayo endelea Nasrallah alikuwa anazuwia wasiachiwe sasa na yeye wame mueliminaye inamaana sasa mateka lazima waachiwe maana Israel anazidi eliminate wakuu wa kijeshi wa Iran and Israel siku sio nyingi Mkuu wa Huthi atauwawa keep coolHabari za jioni!
Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.
Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa.
Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa!
Hiyo vita hapo Mashariki ya Kati Ina agenda ambayo imejificha ndani yake. Sio ajabu Hamas na Lebanon na kina Yemen wanacheza mchezo wa kuigiza. Najaribu kufikiri
Ngoja tuone
Msimamo wake huo hafiki mbali, atakufa.Mateka wako na Yahya Sinwar aliyekuwa ndiye mkuu wa Hamas Gaza na sasa ndiye mrithi wa Kamanda mkubwa wa Hamas Idmael Haniyeh aliyeuliwa mwezi Julai akiwa Iran.
Sinwar ni mkorofi na mtata kuliko akina Haniyeh au Khaled Meshal. Yeye haamini katika suluhu ya majadiliano
Huyo hapo Yahya Sinwar kisha kula shaba.Mateka wako na Yahya Sinwar aliyekuwa ndiye mkuu wa Hamas Gaza na sasa ndiye mrithi wa Kamanda mkubwa wa Hamas Idmael Haniyeh aliyeuliwa mwezi Julai akiwa Iran.
Sinwar ni mkorofi na mtata kuliko akina Haniyeh au Khaled Meshal. Yeye haamini katika suluhu ya majadiliano
Ila kiongozi ukiangalia ndo Iko hivyo....ndo maana ceasefire wanakataa... Israel inatumia kigezo Cha mateka kumaliza magaidiHao mateka ndio tiketi ya kukomesha chokochoko za magaidi huo ukanda wa mashariki ya kati. Kwa hiyo wavaa kobaz lazima wajutie uamuzi wao wa kuteka waisraeli October 7.
Habari za jioni!
Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.
Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa.
Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa!
Hiyo vita hapo Mashariki ya Kati Ina agenda ambayo imejificha ndani yake. Sio ajabu Hamas na Lebanon na kina Yemen wanacheza mchezo wa kuigiza. Najaribu kufikiri
Ngoja tuone
Israel anajua mateka wake walipo.Akitangaza kuwaokoa vita inakosa relevance.Tofautisha kuokoa na kuua mzee mwenzagu kuua is very simple lakin kuukoa ni habari nyingine
Israel anajua mateka walipo lakin sasa je unawaokoa okoa je? Hilo ndo swali