kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
mkuu hao mateka weshauwawa woteHabari za jioni!
Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.
Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa.
Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa!
Hiyo vita hapo Mashariki ya Kati Ina agenda ambayo imejificha ndani yake. Sio ajabu Hamas na Lebanon na kina Yemen wanacheza mchezo wa kuigiza. Najaribu kufikiri
Ngoja tuone
Haya amka ukakojoeHamasi wanatumia mateka kama kinga ukirusha boom kumuuwa mkuu wa hamasi unauwa na mateka. Kinachofanyika wanataka wamuuwe peke yake wawaokoe mateka. Ndio operstion ngumu inayo endelea Nasrallah alikuwa anazuwia wasiachiwe sasa na yeye wame mueliminaye inamaana sasa mateka lazima waachiwe maana Israel anazidi eliminate wakuu wa kijeshi wa Iran and Israel siku sio nyingi Mkuu wa Huthi atauwawa keep cool
Endelea kufikiriNafikiri Israel ilishachukua mateka wake sasa inapanga kuwamaliza viongozi wa magaidi pamoja na Kiongozi mkuu wa Iran
Israhell na shosti zake hawajaanza Jana wala hawataishia leo kuwaua hao viongozi ishu baada ya kuwaua ndio makundi yanakufaMsimamo wake huo hafiki mbali, atakufa.
Sera ya Israel sasa ni kuua viongozi wote wanaoleta zengwe.
Hata Ayatollah wa Iran leo wamemficha kusikojulikana.
Ukiona mpaka Iran kashituka, elewa kuwa mbinu wanazozitumia wayahudi katika kuwaangamiza viongozi wa mahasimu wao si za dunia hii.
Kuokoa mateka sio sawa na kuua watu, ukitaka kuokoa mateka maana ujilinde wewe kwanza kisha mateka ni jambo gumu sana, tofauti na kudondosha bomu kuua watuHabari za jioni!
Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.
Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa.
Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa!
Hiyo vita hapo Mashariki ya Kati Ina agenda ambayo imejificha ndani yake. Sio ajabu Hamas na Lebanon na kina Yemen wanacheza mchezo wa kuigiza. Najaribu kufikiri
Ngoja tuone
Makundi hata yakifa yatatengenezwa mengine. Silaha zitatestiwa na zitauzwa wapi yakifa yote? Soko la silaha Africa ni dogo hatuna pesa wala wafadhili wenye visima vya mafuta. Kidogo hapo Congo soko si baya sana sababu ya dhahabu, Nijeria kidogo napo sijui ni mafuta. Huko mashariki ya kati ndo kwenyewe, pana biashara Mujarab.Israhell na shosti zake hawajaanza Jana wala hawataishia leo kuwaua hao viongozi ishu baada ya kuwaua ndio makundi yanakufa
Umeshawahi kuona mwizi anavyorudisha alivyoviiba? Ndiyo wanavyotakiwa kufanya, maana watafutaji wameapa kutotafuta mtu ila wataitumia kama sababu ya kufanya yao.Habari za jioni!
Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.
Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa.
Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa!
Hiyo vita hapo Mashariki ya Kati Ina agenda ambayo imejificha ndani yake. Sio ajabu Hamas na Lebanon na kina Yemen wanacheza mchezo wa kuigiza. Najaribu kufikiri
Ngoja tuone
Lete hadithi nyingine, Sinwar hayupo tena.Mateka wako na Yahya Sinwar aliyekuwa ndiye mkuu wa Hamas Gaza na sasa ndiye mrithi wa Kamanda mkubwa wa Hamas Idmael Haniyeh aliyeuliwa mwezi Julai akiwa Iran.
Sinwar ni mkorofi na mtata kuliko akina Haniyeh au Khaled Meshal. Yeye haamini katika suluhu ya majadiliano
In addition wanataka siku nyingine Taifa lolote litafakari kabla yakupanga mauwaji yao. Tukio lakutisha linakuja wa Iran kama wana akili wanapaswa kuanza kuiama nchibyao maana ni vumbi uwenda kusiweko iran Netanyahu ameapa kwa dam na roho yake kwa ajili ya kizazi chake acha kabisaLazima wanyooshwe Magaidi mpaka wawatoe mateka wenyewe
Wawarudishe kama walivyowachukua
Ni kipigo mpaka waogope siku nyingine hata wakimuona muisrael wamuamkie shikamoo 😁
Hata mimi nashukuru Yahya Sinwar kusambaratishwa maana yeye ndiyo architect wa October 7 kidnappingLete hadithi nyingine, Sinwar hayupo tena.
Hata mimi nilijiuliza same thingHabari za jioni!
Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.
Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa.
Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa!
Hiyo vita hapo Mashariki ya Kati Ina agenda ambayo imejificha ndani yake. Sio ajabu Hamas na Lebanon na kina Yemen wanacheza mchezo wa kuigiza. Najaribu kufikiri
Ngoja tuone
Kabisa. Hamas walichokoza nyuki. Ninachokiona kwa Israel ni kuwafuta Hamas na Hezbollah mpaka shimo la mwisho. Kisingizio ni kutafuta mateka wake.Habari za jioni!
Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi.
Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki kuwakomboa.
Yaani wajue Viongozi wa Hezbollah na Hammas lakini Mateka anhaa!
Hiyo vita hapo Mashariki ya Kati Ina agenda ambayo imejificha ndani yake. Sio ajabu Hamas na Lebanon na kina Yemen wanacheza mchezo wa kuigiza. Najaribu kufikiri
Ngoja tuone
Wewe anga za kimataifa nimekuvua vyeo tangu ulipotabiri Putin hamalizi mwaka 2022Hamasi wanatumia mateka kama kinga ukirusha boom kumuuwa mkuu wa hamasi unauwa na mateka. Kinachofanyika wanataka wamuuwe peke yake wawaokoe mateka. Ndio operstion ngumu inayo endelea Nasrallah alikuwa anazuwia wasiachiwe sasa na yeye wame mueliminaye inamaana sasa mateka lazima waachiwe maana Israel anazidi eliminate wakuu wa kijeshi wa Iran and Israel siku sio nyingi Mkuu wa Huthi atauwawa keep cool