Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,579
Wapendwa nawasalimu!!
Ninatumai kila mtu ana sifa za ama mke au mume anayemtaka, rafiki zangu wa JF, napenda sana nipate mume mwenye vigezo hivyo hapo nilivyovitaja lakini kila siku imekua kinyume kabisa na matarajio yangu.
1. Awe Mkirsto
2. awe mweupe
3. awe na feature ya maisha, kwani fedha hutafutwa
4. awe mrefu wa wastani
5. kuanzia miaka 30 kuendelea
Dada yangu alishawahi kunitania kuwa eti niwatongoze wale ninaowapenda na nikitu ambacho siwezi hata kujaribu kufanya. Jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa Mungu?
Naombeni mawazo yenu, pengine nafikiri hadithi za kujenga magorofa hewani.
Jitahidi kuhudhuria ibada za wiki (Jumatatu mpaka Jumamosi) utakutana na Wakristu wa kweli (siyo wale wa Jumapili kwa Jumapili?. Vile vile ishi kivitendo hayo matamanio yako mfano kusaidia wenye shida, tabia ya unyenyekevu na kuwajali wengine bila kuangalia vipato vyao. Mwisho fanya Novena ya siku tisa kuomba hicho unachotaka na uwe tayari kwa jibu lolote hata kama itakuwa tofauti mfano unaweza kumpata mweusi kama Jaluo lakini mcha Mungu