Nitampataje mume mwenye vigezo hivi?

Nitampataje mume mwenye vigezo hivi?

Wapendwa nawasalimu!!

Ninatumai kila mtu ana sifa za ama mke au mume anayemtaka, rafiki zangu wa JF, napenda sana nipate mume mwenye vigezo hivyo hapo nilivyovitaja lakini kila siku imekua kinyume kabisa na matarajio yangu.

1. Awe Mkirsto
2. awe mweupe
3. awe na feature ya maisha, kwani fedha hutafutwa
4. awe mrefu wa wastani
5. kuanzia miaka 30 kuendelea

Dada yangu alishawahi kunitania kuwa eti niwatongoze wale ninaowapenda na nikitu ambacho siwezi hata kujaribu kufanya. Jamani nisaidieni au ndio niendelee kusubiri ubavu wangu kutoka kwa Mungu?

Naombeni mawazo yenu, pengine nafikiri hadithi za kujenga magorofa hewani.

Jitahidi kuhudhuria ibada za wiki (Jumatatu mpaka Jumamosi) utakutana na Wakristu wa kweli (siyo wale wa Jumapili kwa Jumapili?. Vile vile ishi kivitendo hayo matamanio yako mfano kusaidia wenye shida, tabia ya unyenyekevu na kuwajali wengine bila kuangalia vipato vyao. Mwisho fanya Novena ya siku tisa kuomba hicho unachotaka na uwe tayari kwa jibu lolote hata kama itakuwa tofauti mfano unaweza kumpata mweusi kama Jaluo lakini mcha Mungu
 
Si you are taking care of me mpaka arudi???

Angalia my bro usije ukahama,tena huyo unayemwambia kabisa kuwa ana take care hadi AD arudi anaweza fanya kweli,yakawa mengine!
mi wote nawapenda kama dada nitapokea yeyote utakayemleta......:laugh::laugh:
 
Mwenye feature ya maisha ndo yupi...fafanua.... Feature na future ni vitu viwili tofauti.

Ukitaka kumpata mwanaume kama huyu na kwakuwa elimu si kikwazo kwa mume umtafutae...mie nashauri uhamie Singida kwa wanyatulu au mitaa ya arusha ambapo weupe ni wengi na dini zao wakristo.....Usijaribu Musoma maana ukimwona mweupe aweza kuwa amepiga mkorogo
 
Naomba uniruhusu nihisi ni kwanini hasa kinachopelekea uwe na vigezo kama hivyo. Wadada wengi huwa na ndoto kama hizo kwamba nikiwa na mtu wa vigezo kama vyako basi watazaa watoto weupe warefu wazuri etc` etc. Nakutahadharisha kuwa maisha ya ndoa siyo rahisi kiasi hicho just look around utaupata ukweli.
Mo-TOWN, Kama kuna watu wana mawazo kama hayo inabidi wafanye homework ya kutosha maana kuna feature zingine zimejificha kwenye genes. Hivyo basi, they need to be conversant with the law of Heredity too.
 
if ur real serious wit lyf this is nt appropriate way my dear;think big,at all mume mwema hutoka kwa bwana.
 
Angalia my bro usije ukahama,tena huyo unayemwambia kabisa kuwa ana take care hadi AD arudi anaweza fanya kweli,yakawa mengine!
mi wote nawapenda kama dada nitapokea yeyote utakayemleta......:laugh::laugh:
Mimi na wewe tunajuana bana so hakuna kitakachoharibika najua sis utaweka mambo vizuri tu:laugh::laugh::laugh:
 
Mpaka hapo ushatongoza. Kila la heri, though nakushauri usubiri Mungu alikuandalia wala usiwe na haraka.
 
Yeah...bora mimi nimsaidie akirudi anakuchukua tu..usije ukakamatika kwingine akakupoteza!

Angalia tu usijenogewa yakakushinda,manake kaka yangu kutunza anajua,heshima anayo na mengine mengi!
all in all,i will be there for you!!
 
Jamani,ningejua ningeenda, my Lizzy ile zawadi sijapata?? raha zenu ukamsahau wifi jamani?:laugh::laugh:

Siulikataa bwana!Ila usijali dearest zawadi is on the way!Mwakani itabidi nikutoe!
 
Tabia ya kuchakachua thread za watu si nzuri,twendeni chat room,na KImey apajue.....l.o.l:laugh::laugh:
 
Back
Top Bottom