Nitamsaidia Humphrey Polepole kutaja wahuni(Hooligans) ambao sio tu hawakumalizwa bali waliongezeka awamu ya tano mara 100 zaidi

Nitamsaidia Humphrey Polepole kutaja wahuni(Hooligans) ambao sio tu hawakumalizwa bali waliongezeka awamu ya tano mara 100 zaidi

Polepole alisema wahuni ni wakwepa kodi. Nikitegemea uzi wao uje na takwimu za wakwepa kodi walioongezeka awamu ya tano kama ulivyoeleza kwenye kichwa cha uzi. Lakini wapi ni mbwembwe tu! Hizi spana ni zenu, mtulie zibane vizuri.
Wakwepa kodi na wale wanaotumia madaraka yao vibaya ndani ya chama na serikalini
 
Wahuni waliendesha zoezi la kuwatoa went vyeti feki na watumishi hewa lakini Bado gharama ya kulipa mishahara kwa watumishi iliongezeka
Wahuni walisema Kwenda kutibiwa nje mtumishi wa umma mpaka upate kibali cha Rais. Hatimaye gharama za matibabu nje ziliongezela mara dufu
 
Wahuni walijenga uwanja Kule chato na Sasa unatumika kuanikia michembe.
Juzi rais wa Uganda alitua uwanja gani pale chato kama leo uwanja unaanikiwa michembe acheni siasa za umbea name chuki na wivu hadi uwanja wa chato mnauonea wivu
 
Ni bora uwongo wa mzalendo Magufuli kuliko ukweli wa wapigaji, mafisadi, wala rushwa, vyeti feki, wahujumu uchumi
 
Ni bora uwongo wa mzalendo Magufuli kuliko ukweli wa wapigaji, mafisadi, wala rushwa, vyeti feki, wahujumu uchumi
Mzalendo huyo yuko wapi? Na je nchi imefilisika????Je Watanzania wanalala njaa???Je amani imetoweka nchini???Je serikali haina hela na haikusanyi kodi???Please be critical,systematic and coherent.
 
Back
Top Bottom