Nitawakumbuka sana wana-JF. Mniombee katika safari yangu ya maisha mapya

Nitawakumbuka sana wana-JF. Mniombee katika safari yangu ya maisha mapya

Yaani umejiunga november 6,na leo december 8 unatuaga,umeishi na sisi mwezi mmoja ila umeandika mambo utadhani una miaka kumi jamvini kweli wewe ni the story teller,,,,,wasalimie gamboshi
 
Hatimaye nimerudi kuwasalimu wana Jamiiforums kwa siku kadhaa kabla ya kurudi mapambanoni
 
Ukafanikiwe kwa lolote unaloenda kulifanya.

Nilitamani nikuone kwenye mavazi yako ya heshima " suruali nyeusi modo, shati la kitenge lenye maua ya njano, kiatu cha blue kilichochongoka mbele, tai ya kijani mpauko, soksi nyeupe ndefu". Ukirudi nitumie japo picha.
[emoji38][emoji38]Usijali mkuu, punde nitaambatanisha picha huko PM, huenda nikaokota dodo la kula kimasihara i.e ki rikiboy
 
Back
Top Bottom