Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Njoo pm uniimbie vizuri babyMaisha ya shule ni Safari ndefu
Vumi vumilia ni Safari ndefu
Asiyependa shule ni Mjinga kabisa
Barua ikija anashindwa kusoma
Mabata Madogo Madogo
Yanaogelea katika maji
Yanaliaa kwakwakwaa na vichwaa juuuuuu
Duuh ndo maana aisee we bado dogo snaNdo naenda kidato cha nne mkuu
Kitabu ni kigumu sana asikwambie mtu
Aaah umeshaanza ivo na cha zako.Hahaaa et jinsi nilivyowagegeda huwa nina dem mwalimu anadai kanimis ile mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki ya nani nimecheka kwa sauti duuhHuyu dogo hawezi ondoka humu jf aiseeeee......
Hapa najua ndani ya wiki hii atakuja na issue nyingine kama sio kufukuzwa shule na blablaa nyingiiiii
NakujaaaNjoo pm uniimbie vizuri baby
Mkeo aliyetafunwa na HB unamwacha???Ndo naenda kidato cha nne mkuu
Kitabu ni kigumu sana asikwambie mtu
Punguzeni maneno makali aiseeeee....Kwaiyo unataka kusema?