Nitawamis sana kwaherini JF, shule zimefunguliwa naenda shule tutaonana mwezi wa tatu wakuu

Nitawamis sana kwaherini JF, shule zimefunguliwa naenda shule tutaonana mwezi wa tatu wakuu

[emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu ni sawa na kupiga chafya ikikutoka unasema alhamdulilah

Nenda baba angalau tutapumua na mistory ya sadiki ukipenda
 
Huyu dogo hawezi ondoka humu jf aiseeeee......
Hapa najua ndani ya wiki hii atakuja na issue nyingine kama sio kufukuzwa shule na blablaa nyingiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki ya nani nimecheka kwa sauti duuh
 
Hawa watoto wa shule huku kwenye mitandao wanafanya nini! Watapofuka
 
Kuna uzi umeandika kua umemfuma mke wako na houseboy, muda mwing upo kazin nje ya mji, ni mara chache tuu zczozid 3 kwa mwez ndio hua unakua home... mara paap ukakuta mkeo na houseboy, leo unaeud shule... jf kwa fix bana hahaaa
 
Back
Top Bottom