LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Mayele alipwe milioni 50 kwa sababu gani? Kwa ajili ya kugombania shilingi ngapi? kwa kitu gani anacho kwenda kuifanyia Yanga? Huyu huyu Mayele aliye shindwa kuipeleka Yanga kwenye makundi Club bingwa Afrika? Yanga acheni utoto, chukueni hiyo bilioni moja na nusu ya hao mafala waachieni mtu wao muitumie kuchukua wachezaji wenye vipaji ambao hawatahitaji kulipwa pesa nyingi kiasi hicho. Bora muichukue hiyo hela sasa hivi coz msimu ujao anaweza kuflop na kushindwa kuuzika. Ni haramu kukataa hela.
ifike muda sasa Yanga na Simba zianze kutengeneza wachezaji wazawa wenye uzalendo na timu pia. Mbona Ahly na Zamalek wameweza? Kama wewe ni mmisri, hauwezi chezea Ahly au Zamalek kama wewe sio shabiki wa timu hizo ambae unatoka katika familia ya wapenzi/wanachama na mashabiki wa timu hiyo.
mchezaji anaanza kutengenezwa tangu akiwa mtoto mdogo kwamba akija kuwa mkubwa atachezea Ahly au Zamalek. Yani kama ilivyo kwa madrasa na sunday school. Hata hawa mabwege wa kariakoo wakiamua wanaweza