Nitawashangaa sana Yanga kama watamlipa Mayele milioni 50

Yani ukija JF kila mtu anajua kila kitu na ana taarifa zote. Hiyo 50M ya Mayele ndio naisikia leo mara ya mwisho ilikua 35M ikapanda mpaka 40M sasa ishafika 50. Yan mtu anjiropokea mara mwingine anasema Musonda ni bora kuliko Mayele. Nimesoma mwingine eti coach Gamondi ana mipango na Musonda zaidi ya Mayele🤣🤣

UKiwa huelewi na wewe unabebwa juu kwa juu kama fikra zao. Yan kwamba kina Eng Hersi hawajui opportunity cost ya aidha kumbakiza Mayele au kumuachia. Tupunguze ujuaji
 
Messi alipokwenda Psg aliwakataa Barca?,Kuna muda mchezaji anatamani kwenda kubadili upepo sehemu nyingine na hilo huwezi kulipinga,hivyo kama anataka kuondoka yeye aondoke hakuna anayemng'ang'ania,hizo pesa atakazouzwa atanunuliwa mchezaji mwingine wakati huo Musonda anawakanda Makolo
Musonda huyu huyu acha kujifariji wewe!
 
Yani ukija JF kila mtu anajua kila kitu na ana taarifa zote. Hiyo 50M ya Mayele ndio naisikia leo mara ya mwisho ilikua 35M ikapanda mpaka 40M sasa ishafika 50. Yan mtu anjiropokea mara mwingine anasema Musonda ni bora kuliko Mayele. Nimesoma mwingine eti coach Gamondi ana mipango na Musonda zaidi ya Mayele🤣🤣

UKiwa huelewi na wewe unabebwa juu kwa juu kama fikra zao. Yan kwamba kina Eng Hersi hawajui opportunity cost ya aidha kumbakiza Mayele au kumuachia. Tupunguze ujuaji
Musonda kawa bora dhidi ya Mayele ni kichekesho design kama watu wanajiandaa kisaikolojia.
 
Ndio inavyokuwa ila after half season market value yake itashuka.

Na siku wakimvunjia mkataba unakuta hawezi tena kuwa hitaji la muhimu kwenye timu yake ya zamani.

Ndo hapo unakuta mchezaji anakubali ofa yeyote ili mradi tu acheze, mwisho wa siku baada ya performance isiyo ya kuridhisha utashangaa Yanga wamemtoa kwa mkopo aende Ihefu.
N

Ndivyo ilivyo
Ila maisha ya mpira ni mafupi, Mchezaji anatakiwa achangamke wakati yupo kwenye peak ,maana akishashuka kupanda tena ni vigumu na wala klabu haitamuonea huruma kua tumlipe mshahara mkubwa kama kipindi kile
Yaliyomkuta Ngassa na jamii ya aina hiyo iwe funzo kwa wachezaji wazawa
Kazi na ushabiki haviendi pamoja
 
MUSONDA NI HATARI ZAIDI YA MAYELE

Mayele keshanusa hatari iliyoko mbele yake na ndiyo maana sasa hivi ameanza vituko,Gamondi anakuja kumpaisha MUSONDA na kila mtu atabaki anashangaa.

Uza Mayele chukua pesa saijili forward mwingine
Mpira ni mchezo wa hadharani ndio Sababu hata wanunuzi wamemuona Mayele.

Wewe utakuwa una makengeza au huwa unafuatilia mpira redioni kupitia TBC.
 
N

Ndivyo ilivyo
Ila maisha ya mpira ni mafupi, Mchezaji anatakiwa achangamke wakati yupo kwenye peak ,maana akishashuka kupanda tena ni vigumu na wala klabu haitamuonea huruma kua tumlipe mshahara mkubwa kama kipindi kile
Yaliyomkuta Ngassa na jamii ya aina hiyo iwe funzo kwa wachezaji wazawa
Kazi na ushabiki haviendi pamoja
Ngasa ni upuuzi wake binafsi, alivyokwenda kujaribiwa Uingereza Zola alimwambia arudi Tanzania arekebishe vitu muhimu ana Mipango naye, cha kushangaza Ngasa ariporudi Bongo akaja kuongeza mke wa Pili, sasa utasema kichwani kuna mtu hapo?
 
Naomba kuuliza... anayelipa mishahara wachezaji pale yanga kwa sasa ni nani?! Si ni GSM au?! 🤔🤔🤔
 
Ngasa ni upuuzi wake binafsi, alivyokwenda kujaribiwa Uingereza Zola alimwambia arudi Tanzania arekebishe vitu muhimu ana Mipango naye, cha kushangaza Ngasa ariporudi Bongo akaja kuongea mke wa Pili, sasa utasema kichwani kuna mtu hapo?
Ngassa naskia alishindwa kumla kuku mzima.

Ukatokea ubishi kati ya management ya timu na wakala wa mchezaji.

Management ikasema mpira wa huku Ulaya nguvu zinahitajika sana sasa mchezaykama anashindwa kumaliza kuku, hata awe anapiga chenga kiasi gani ila bila stamina atakuwa anapigwa push na kutolewa kwenye reli.

Kuna wachimbaji kule Chunya walipoisikia hii habari walimuona Ngassa mjinga.

Jamaa mmoja alisema ningekuwa mimi kwanza huyo kuku ningempiga na matonge kadhaa
 
Ndio inavyokuwa ila after half season market value yake itashuka.

Na siku wakimvunjia mkataba unakuta hawezi tena kuwa hitaji la muhimu kwenye timu yake ya zamani.

Ndo hapo unakuta mchezaji anakubali ofa yeyote ili mradi tu acheze, mwisho wa siku baada ya performance isiyo ya kuridhisha utashangaa Yanga wamemtoa kwa mkopo aende Ihefu.
N
Ndio inavyokuwa ila after half season market value yake itashuka.

Na siku wakimvunjia mkataba unakuta hawezi tena kuwa hitaji la muhimu kwenye timu yake ya zamani.

Ndo hapo unakuta mchezaji anakubali ofa yeyote ili mradi tu acheze, mwisho wa siku baada ya performance isiyo ya kuridhisha utashangaa Yanga wamemtoa kwa mkopo aende Ihefu.
Ndivyo ilivyo
Ila maisha ya mpira ni mafupi, Mchezaji anatakiwa achangamke wakati yupo kwenye peak ,maana akishashuka kupanda tena ni vigumu na wala klabu haitamuonea huruma kua tumlipe mshahara mkubwa kama kipindi kile
Yaliyomkuta Ngassa na jamii ya aina hiyo iwe funzo kwa wachezaji wazawa
Kazi na ushabiki haviendi pamoja
 
Ngassa naskia alishindwa kumla kuku mzima.

Ukatokea ubishi kati ya management ya timu na wakala wa mchezaji.

Management ikasema mpira wa huku Ulaya nguvu zinahitajika sana sasa mchezaykama anashindwa kumaliza kuku, hata awe anapiga chenga kiasi gani ila bila stamina atakuwa anapigwa push na kutolewa kwenye reli.

Kuna wachimbaji kule Chunya walipoisikia hii habari walimuona Ngassa mjinga.

Jamaa mmoja alisema ningekuwa mimi kwanza huyo kuku ningempiga na matonge kadhaa
Kuna jamaa yangu anafanya kazi Kilimanjaro hotel alikuwa New Africa hotel pia anakwambia walivyokuja team ya Taifa ya Ivory wale kina Drogba wanafuta hadi Kuku Wawili mchezaji mmoja, na wote wanacheza mpira ulaya.
 
Mayele alipwe milioni 50 kwa sababu gani? Kwa ajili ya kugombania shilingi ngapi? kwa kitu gani anacho kwenda kuifanyia Yanga? Huyu huyu Mayele aliye shindwa kuipeleka Yanga kwenye makundi Club bingwa Afrika? Yanga acheni utoto, chukueni hiyo bilioni moja na nusu ya hao mafala waachieni mtu wao muitumie kuchukua wachezaji wenye vipaji ambao hawatahitaji kulipwa pesa nyingi kiasi hicho. Bora muichukue hiyo hela sasa hivi coz msimu ujao anaweza kuflop na kushindwa kuuzika. Ni haramu kukataa hela.

ifike muda sasa Yanga na Simba zianze kutengeneza wachezaji wazawa wenye uzalendo na timu pia. Mbona Ahly na Zamalek wameweza? Kama wewe ni mmisri, hauwezi chezea Ahly au Zamalek kama wewe sio shabiki wa timu hizo ambae unatoka katika familia ya wapenzi/wanachama na mashabiki wa timu hiyo.

mchezaji anaanza kutengenezwa tangu akiwa mtoto mdogo kwamba akija kuwa mkubwa atachezea Ahly au Zamalek. Yani kama ilivyo kwa madrasa na sunday school. Hata hawa mabwege wa kariakoo wakiamua wanaweza
ushauri mzuri wa kutengeneza timu za watoto ila nilichoshuhudia kwenye mashindano ya under 20 Bado Wana safari ndefu
 
Mayele alipwe milioni 50 kwa sababu gani? Kwa ajili ya kugombania shilingi ngapi? kwa kitu gani anacho kwenda kuifanyia Yanga? Huyu huyu Mayele aliye shindwa kuipeleka Yanga kwenye makundi Club bingwa Afrika? Yanga acheni utoto, chukueni hiyo bilioni moja na nusu ya hao mafala waachieni mtu wao muitumie kuchukua wachezaji wenye vipaji ambao hawatahitaji kulipwa pesa nyingi kiasi hicho. Bora muichukue hiyo hela sasa hivi coz msimu ujao anaweza kuflop na kushindwa kuuzika. Ni haramu kukataa hela.

ifike muda sasa Yanga na Simba zianze kutengeneza wachezaji wazawa wenye uzalendo na timu pia. Mbona Ahly na Zamalek wameweza? Kama wewe ni mmisri, hauwezi chezea Ahly au Zamalek kama wewe sio shabiki wa timu hizo ambae unatoka katika familia ya wapenzi/wanachama na mashabiki wa timu hiyo.

mchezaji anaanza kutengenezwa tangu akiwa mtoto mdogo kwamba akija kuwa mkubwa atachezea Ahly au Zamalek. Yani kama ilivyo kwa madrasa na unday school. Hata hawa mabwege wa kariakoo wakiamua wanaweza
Ushauri wako uzingatiwe
 
Mko kwenye panic ya kuachwa now mnaanza kutafuta visingizio vya kujifariji.

Siku Musonda akisema anataka salary ya 20M, mtasema Mzinze ni hatari kuliko Musonda.

Kubalini tu mwana kawakataa na nguvu ya pesa ya kumfanya abaki hamna sio kuanza kumtabiria mabaya kwenye safari yake.

Au kum-undermine dhidi ya kina Musonda ambao hata nyie msingeweza kumuelewa Nabi siku ambayo Musonda anaanza kwenye mechi muhimu halafu Mayele yupo benchi.
Mpira ni biashara, kama ni 1.5 b basi wakunje pesa, washambuliaji wamejaa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom