Nitawashangaa sana Yanga kama watamlipa Mayele milioni 50

Mayele alipwe milioni 50 kwa sababu gani? Kwa ajili ya kugombania shilingi ngapi? kwa kitu gani anacho kwenda kuifanyia Yanga? Huyu huyu Mayele aliye shindwa kuipeleka Yanga kwenye makundi Club bingwa Afrika? Yanga acheni utoto, chukueni hiyo bilioni moja na nusu ya hao mafala waachieni mtu wao muitumie kuchukua wachezaji wenye vipaji ambao hawatahitaji kulipwa pesa nyingi kiasi hicho. Bora muichukue hiyo hela sasa hivi coz msimu ujao anaweza kuflop na kushindwa kuuzika. Ni haramu kukataa hela.

ifike muda sasa Yanga na Simba zianze kutengeneza wachezaji wazawa wenye uzalendo na timu pia. Mbona Ahly na Zamalek wameweza? Kama wewe ni mmisri, hauwezi chezea Ahly au Zamalek kama wewe sio shabiki wa timu hizo ambae unatoka katika familia ya wapenzi/wanachama na mashabiki wa timu hiyo.

mchezaji anaanza kutengenezwa tangu akiwa mtoto mdogo kwamba akija kuwa mkubwa atachezea Ahly au Zamalek. Yani kama ilivyo kwa madrasa na sunday school. Hata hawa mabwege wa kariakoo wakiamua wanaweza
Hata milioni 30 nyingi sana
 
Mimi ni mnyama, ila napenda alipwe tu hizo 50M ili akina Feisal wa chini chini wajitokeze wengi wengi huko utopoloni
 
Mayele alipwe milioni 50 kwa sababu gani? Kwa ajili ya kugombania shilingi ngapi? kwa kitu gani anacho kwenda kuifanyia Yanga? Huyu huyu Mayele aliye shindwa kuipeleka Yanga kwenye makundi Club bingwa Afrika? Yanga acheni utoto, chukueni hiyo bilioni moja na nusu ya hao mafala waachieni mtu wao muitumie kuchukua wachezaji wenye vipaji ambao hawatahitaji kulipwa pesa nyingi kiasi hicho. Bora muichukue hiyo hela sasa hivi coz msimu ujao anaweza kuflop na kushindwa kuuzika. Ni haramu kukataa hela.

ifike muda sasa Yanga na Simba zianze kutengeneza wachezaji wazawa wenye uzalendo na timu pia. Mbona Ahly na Zamalek wameweza? Kama wewe ni mmisri, hauwezi chezea Ahly au Zamalek kama wewe sio shabiki wa timu hizo ambae unatoka katika familia ya wapenzi/wanachama na mashabiki wa timu hiyo.

mchezaji anaanza kutengenezwa tangu akiwa mtoto mdogo kwamba akija kuwa mkubwa atachezea Ahly au Zamalek. Yani kama ilivyo kwa madrasa na sunday school. Hata hawa mabwege wa kariakoo wakiamua wanaweza
tafuta pesa uondokane na gubu la kupangia matumizi pesa za wanaume wenzako mkuu
 
Mko kwenye panic ya kuachwa now mnaanza kutafuta visingizio vya kujifariji.

Siku Musonda akisema anataka salary ya 20M, mtasema Mzinze ni hatari kuliko Musonda.

Kubalini tu mwana kawakataa na nguvu ya pesa ya kumfanya abaki hamna sio kuanza kumtabiria mabaya kwenye safari yake.

Au kum-undermine dhidi ya kina Musonda ambao hata nyie msingeweza kumuelewa Nabi siku ambayo Musonda anaanza kwenye mechi muhimu halafu Mayele yupo benchi.
Bado wanajitafuta hawajajipata... 😆 🐸
 
Mayele tayali kashadabuliwa sasa ni mwendo wa kusaga meno!
Unasageje meno Bwashee! Kama unamuuza mchezaji kwa dau kubwa maana yake unapata fedha za kununua mchezaji/wachezaji wengine wakubwa zaidi wa kuja kujaza nafasi yake.

Football is all about business! Hivyo binafsi namtakia kila la heri huko aendako, baada ya Yanga kuongeza thamani ya kiwango chake.
 
Back
Top Bottom