Nitawashangaa sana Yanga kama watamlipa Mayele milioni 50

Hata milioni 30 nyingi sana
 
Mimi ni mnyama, ila napenda alipwe tu hizo 50M ili akina Feisal wa chini chini wajitokeze wengi wengi huko utopoloni
 
tafuta pesa uondokane na gubu la kupangia matumizi pesa za wanaume wenzako mkuu
 
Bado wanajitafuta hawajajipata... 😆 🐸
 
Mayele tayali kashadabuliwa sasa ni mwendo wa kusaga meno!
Unasageje meno Bwashee! Kama unamuuza mchezaji kwa dau kubwa maana yake unapata fedha za kununua mchezaji/wachezaji wengine wakubwa zaidi wa kuja kujaza nafasi yake.

Football is all about business! Hivyo binafsi namtakia kila la heri huko aendako, baada ya Yanga kuongeza thamani ya kiwango chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…