Nitawashangaa watoto wa Lemutuz wakigandana huko Marekani na kutelekeza mirathi ya baba yao

Dunia ni Kijiji,unaweza kuwa USA,na ukaendesha kampuni bongo,sio lazima uamie bongo,unaweka matawi TU,vertiv/Emerson ni kampuni ya Italy,ila Ina matawi SA,Kenya,USA,na CEO anaishi Ulaya.
Dunia ni Kijiji kikubwa,
 
Sidhani hata laana itampata huyo dogo kwasababu hata mshua mwenyewe tu.
M-sure aliishi maishi ya kivyake akijiwakilisha mwenyewe mitandaoni bila kujali kuwa ana watoto pia wana access ya mitandao, pia bila kujali kuwa ana wazazi pia ana wafuasi.
Mpaka kufikia video za utupu za clips za mshua zina trendishwa mitandaoni but majibu yake hayaonyeshi any regrets but prides.

Aisee, yeyote anayemlaumu mtoto kwa kumtukana baba au hata angekua ni mama wa aina ile basi mtu huyo na yeye atakua ni hamnazo na yeye na aina hiyo ya Mdingi watakua ni Mapacha wa akili
 
Yote hayo yalianza na mama yao.

Kama mama yao angekuwa na hekima wale watoto wange reconcile na baba yao kabla hajafa.

Wakajivika umarekani mwingi stupid.

Sijui hata huko states kama Wana maisha ya maana sana usikute saivi wananyonywa na mikopo ya Chuo plus mortgage.

Si Bora wangekuwa celebrities au Fani Fulani

Gadem!!

Wanawake acheni kusambaza sumu kwa watoto
 

Boma Yeeee!
CASE CLOSED!!!
 
2500$ kwa usa ni uchafu tu pesa ya wiki iyo
 
Watanzania bana hatuwezekani si ajabu ndio maana hata bandari tumeshindwa kuindesha hadi wakaletwa waarabu, kisa tumekalia mambo yasiyotuhusu, wewe ni nani hadi uwashauri hao watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…