Nitawashangaa watoto wa Lemutuz wakigandana huko Marekani na kutelekeza mirathi ya baba yao

Nitawashangaa watoto wa Lemutuz wakigandana huko Marekani na kutelekeza mirathi ya baba yao

Hata kama baba ana makosa, mwisho wa siku bana, mzazi ni mzazi.
Umeelewa point yangu? Alitegemea watoto wasimlalamikie hata kidogo? Mnajua ni mangapi magumu wale watoto wameyapitia kwa sababu tu baba yao hakuwepo? Do you know what a father's presence; just presence means to his kids? Unajua watoto waliotelekezwa wanapitia trauma kiasi gani? Kuwa mzazi hakukufanyi uwe huru kufanya unavyojisikia. Mke wake amemsababishia mambo mengi sana; but still he should have fixed things with his kids; haswa yule binti. It was just a matter of time yule binti angekuwa sawa na baba yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule binti mnamuonea bure tu inavyoonesha alikuwa teyari kuyamaliza na mshua wake Le Mutuz ndiye aliyezingua lkn yule dogo wa kiume ni fala wa kiwango cha juu sana huwezi kumjibu dingi yako vile.
Alimjibuje? Sijawahi kuona hii habari
 
Umeelewa point yangu? Alitegemea watoto wasimlalamikie hata kidogo? Mnajua ni mangapi magumu wale watoto wameyapitia kwa sababu tu baba yao hakuwepo? Do you know what a father's presence; just presence means to his kids? Unajua watoto waliotelekezwa wanapitia trauma kiasi gani? Kuwa mzazi hakukufanyi uwe huru kufanya unavyojisikia. Mke wake amemsababishia mambo mengi sana; but still he should have fixed things with his kids; haswa yule binti. It was just a matter of time yule binti angekuwa sawa na baba yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naongezea, msisahau behaviour za Marehemu katika Social Media haziwezi kumfanya mtoto aheshimu Baba yake. Mtoto anatamani kila siku baba awe na mama tu. Siyo leo unapigwa kisi na Wema etc. Kusema za ukweli hata kijana pamoja na kughafilika kwa kutoa lugha isiyostahili kwa baba yake, nadhani Lemutuz alikuwa anawachefua ile life style yake hata ungalikuwa wewe.

Jiulize kwanini tunapinga ushoga, kwani wakiingizwa D2 zao hao mashoga sisi inakuwa D2 zetu zimeingiliwa! Hapana ni kuwa hicho kitendo kinachefua na kuona kama vijana wetu wanaweza kuiga na kuwa nao wanapakuliwa D2 zao, ndo maana tunatamani wauawe. Hivyo huwezi kuhangaika na huyo kijana bila kuona aliyokuwa anayafanya Marehemu nayo yalikuwa ni shida kwa kijana.
 
Kwahyo spika na rangi za ukuta ndio Ina determine uchumi wa mtu

Huyo jamaa hana kitu, historia yake aliisema mwenyewe, jamaa mpambanaji ila hela hakuwa nayo sababu ya changamoto, sasa sijui wewe unayesema ana hela unatoa wapi hizo taarifa.
 
Mi naona Lemutuz alikuwa mjasiriamali mpambanaji kwenye sekta ya social media na matangazo. Sekta ambayo kwa Tanzania na kwa ukubwa wake na mazingira ya matangazo mitandaoni, inaweza kuwa na potential ya kukuingizia sio chini ya free cash flow ya Tsh. 5 hadi Tsh. 6 million kwa mwezi ukiondoa gharama za uendeshaji.

Maana yake hiyo inakupa kama Tsh. 60 millioni kwa mwaka au (USD 25,000) na hiyo nadhani ni makadirio ya chini na kati. Sasa sijui kama kuna mtoto wa Lemutuz ambaye yeye huko Marekani anaweza kutengeneza net income ya USD 25,000 kwa mwaka.

Maana yake ni kwamba, mi naona ingekuwa vizuri sana walau hata mtoto mmoja angekuja kusimamia hii biashara ya baba yao na kuiboresha zaidi.

Kwa mahesabu ya ki finance, kwa average return ya 20% kwa mwaka na kwa annual free cash flow ya Tsh. 60 million kwa mwaka, hiyo maana yake inaipa biashara ya Lemutuz, valuation ya kati ya Tsh. 250 milllioni mpaka Tsh. 300 millioni.

Ndio maana narudia tena kusema, nitawaona hawa watoto hawana akili kama wakigandana huko Marekani na kuacha mali ya baba yao ikipotea bure.

Naomba ushauri huu uwafikie popote walipo.
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, we jiandae tu kushangaaa kama baba alikuwa mzima na walikuwa huko walipo kwmb amekufa ndo watarudi??????
 
Mi naona Lemutuz alikuwa mjasiriamali mpambanaji kwenye sekta ya social media na matangazo. Sekta ambayo kwa Tanzania na kwa ukubwa wake na mazingira ya matangazo mitandaoni, inaweza kuwa na potential ya kukuingizia sio chini ya free cash flow ya Tsh. 5 hadi Tsh. 6 million kwa mwezi ukiondoa gharama za uendeshaji.

Maana yake hiyo inakupa kama Tsh. 60 millioni kwa mwaka au (USD 25,000) na hiyo nadhani ni makadirio ya chini na kati. Sasa sijui kama kuna mtoto wa Lemutuz ambaye yeye huko Marekani anaweza kutengeneza net income ya USD 25,000 kwa mwaka.

Maana yake ni kwamba, mi naona ingekuwa vizuri sana walau hata mtoto mmoja angekuja kusimamia hii biashara ya baba yao na kuiboresha zaidi.

Kwa mahesabu ya ki finance, kwa average return ya 20% kwa mwaka na kwa annual free cash flow ya Tsh. 60 million kwa mwaka, hiyo maana yake inaipa biashara ya Lemutuz, valuation ya kati ya Tsh. 250 milllioni mpaka Tsh. 300 millioni.

Ndio maana narudia tena kusema, nitawaona hawa watoto hawana akili kama wakigandana huko Marekani na kuacha mali ya baba yao ikipotea bure.

Naomba ushauri huu uwafikie popote walipo.
Hawawezi kuiendesha itakufa na itawastress. Lemutuz alikuwa brand yeye mwenyewe na alikuwa trusted yeye binafsi and not otherwise. Ingekuwa registered company ingeweza kuwa easy kwao ku run the business. Hawataweza kutembea kwenye viatu vya baba yao.
 
Kulikuwa na pension yake Marekani alikuwa anangoja kulipwa na akawa anatamba sana akilipwa atafanya makubwa sijui alishalipwa? Ni hela ndefu sana karibia 1 million usd.

Ila jamaa alihaso Marekani. Alikuwa halali usiku na mchana kazi. Dereva mzuri sana wa magari taka. Kila kona na vichochoro vya newyork vilikuwa kichwani.
Ha ha ha! We jamaa chenga sana!
 
Mama D unaweza ukasema kabisa kile alichokiandika Le mutuz kilikuwa ni kuomba msamaha? Inawezekana alikuwa na nia ya kuomba msamaha ila kwa Ile approach alikoseam. His ego was too big to admit that he messed up; hata kama mama watoto ndiyo kisababishi cha yote hayo.

Kwa yule mtoto wa kiume; kumtukana baba yake ilikuwa ni kukosa adabu kulikopitiliza; ataipata tu fimbo yake. Ila kwa yule binti yake; ni kama tu amemuongezea trauma nyingine zaidi. Binti analalamika na kumuuliza maswali baba yake; of coz he owed them some explanations kwa nini aliondoka tu kabla; na sio kutaka tu kutoka na kuingia kwenye maisha yao kadri anavyojisikia. Badala ya kuelezea hata kiufupi, anamjibu mtoto kwamba amemtafuta tu kwa sababu rafiki zake binti walikuwa wanamsumbua sana awatafute; so he was done. Was he even remorseful? Was he repenting for his absence and whatever his kids had to face because of him? Kwa hiyo after Ile meseji aliyowatumia ingekuwa ndiyo imeshaisha kila mtu ashike maisha yake? Alikuwa na mpango wa kuwepo kwenye maisha ya watoto wake kweli? Yule binti alijisikiaje? Kwa nini asingemsaidia binti yake kutoa ule uchungu wote aliokuwa ameujaza juu ya baba yake? Alitaka binti yake ajue kwamba he never wanted them, they were just a mistake or what?

Sawa watoto huwa wanalishwa sana sumu especially wakiwa wadogo; lakini mtoto anapokuwa na kujitambua; anakuwa na uwezo wa kuona mambo bila ya kushurutishwa na kuamua kufanya maamuzi yake binafsi. Ni watoto wangapi waliamua kuwasamehe wazazi wao either kwa kujua ukweli au kwa kuamua tu kusamehe kwa ajili ya amani zao za moyo?. Huu ulikuwa ni wakati wa yeye naye kufunguka upande wake; whether watoto wangeamini or not; but at least angekuwa ametimiza part yake ya kuwaambia ukweli then wangeamua kusuka au kunyoa.

I feel sorry kwa watoto wake kwa sababu ipo siku wataujua ukweli au watatamani tu baba yao angekuwepo wamsamehekwa kujua ukweli au kwa ajili ya amani zao za moyo; but hawatomuona. Huyo wa kiume na kwa yale matusi ndiyo atajuta hadi basi. Na kuhusu ex mkewe; may God judge her.

Wanaume wengi wa kiafrika hawajui kuomba msamaha wanapokosea, wale wachache wanaoombaga msamaha na kukubali makosa pepo inawasubiria

Mungu wetu nae kwa kujua tutaleta mashindano kwa watoto kupuuza nafasi aliyompa mzazi kuzaa na kulea akaamua awe dikteta kwa kutoa amri ya kumheshimu mzazi bila kuwa na conditions.

“Waheshimu baba yako na mama yako, ili uishi maisha marefu katika nchi ninayokupa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako."

Pole sana kwao
 
Back
Top Bottom