Nitawashangaa watoto wa Lemutuz wakigandana huko Marekani na kutelekeza mirathi ya baba yao

Nitawashangaa watoto wa Lemutuz wakigandana huko Marekani na kutelekeza mirathi ya baba yao

Kulikuwa na pension yake Marekani alikuwa anangoja kulipwa na akawa anatamba sana akilipwa atafanya makubwa sijui alishalipwa? Ni hela ndefu sana karibia 1 million usd.

Ila jamaa alihaso Marekani. Alikuwa halali usiku na mchana kazi. Dereva mzuri sana wa magari taka. Kila kona na vichochoro vya newyork vilikuwa kichwani.
Itakuwa mke wake alikuwa anampeleka race sana, mi naamini jamaa hakuwa na shida
 
Wale wanasubiria mirathi ya Babu yao ambayo hawataipata sababu daraja lao limekatika(le mutuz). Na ile familia ina mgogoro mkali watoto wa mke wa kwanza vs mke wa pili vs watoto wa nje ya ndoa
Basi watakuwa ni wajinga, bora wangekuja kung'ang'ana na hichi kidogo cha baba yao.. hiyo ya babu yao naona itakuwa utata kuipata, halafu kwa sababu ni watoto wa kile sidhani kama mirathi ya babu wataambulia
 
Sitashanga wasipoona hilo maana tayari akili hawana, kwa afya yake ilipokuea imefikia Lemutuz alikua afe lakini hao watoto wamemuongezea speed

Baraka ni maneno, Mali na Pesa ni matokeo ya baraka
Baraka zinafuata mkondo toka kwa Mungu, zinashuka kwa baba kisha kwa watoto

Nawahurumia sana watoto wa lemutuz kwa waliyomwambia baba yao baada ya baba kuwaomba msamaha. Kuna siku watatamani arudi waongee

KUTOKA 20:12
“WAHESHIMU BABA yako na MAMA yako, ili uishi MAISHA MAREFU katika nchi ninayokupa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.
Ndo madhara ya watoto kupokea ushauri kwa Mange Kimambi. Mtu mwenye akili huwez mchukia mzazi wako
 
Kabla ujafanya maamuzi na akili yako, uliza ushauri, utaingia hasara sana na huo uelewa wako.

Zile speaker na ukuta wa pink kwa office ye Le mbembez hauzidi 20m, hawezi kuwa na hiyo income.

Siamini kama ana hela huyo jamaa, atakuwa fukara tu wa kawaida kabisa huku duniani.
Ndo mana nikasema social media, biashara kubwa inafanyika kwenye simu. Usidharau hustle mkuu
 
Mirathi ya toyota noah ya mwaka 96 na apartment za NHC ambazo alikuwa analipia kodi kila mwisho wa mwezi? You have got to be serious.
Usidharau hustle... halafu wewe umeniambia sina akili nikakuambia usibitishe naona umeuchuna...

Acha kuongea kama Kasuku.... Hizo Toyota Noah wewe unazo ngapi?
 
Usidharau hustle... halafu wewe umeniambia sina akili nikakuambia usibitishe naona umeuchuna...

Acha kuongea kama Kasuku.... Hizo Toyota Noah wewe unazo ngapi?
kumbe imekuwa hobby ya kufuatilia kila comment yangu?

Haya nimekujibu, hifadhi na hii pia.
 
Usidharau hustle... halafu wewe umeniambia sina akili nikakuambia usibitishe naona umeuchuna...

Acha kuongea kama Kasuku.... Hizo Toyota Noah wewe unazo ngapi?
Malecela hakuwa na utajiri wa kugombaniwa hata na watoto tu wa uswahilini hapa Tz. Alikuwa wa kawaida tu na mishe mishe za town.
 
Kulikuwa na pension yake Marekani alikuwa anangoja kulipwa na akawa anatamba sana akilipwa atafanya makubwa sijui alishalipwa? Ni hela ndefu sana karibia 1 million usd.

Ila jamaa alihaso Marekani. Alikuwa halali usiku na mchana kazi. Dereva mzuri sana wa magari taka. Kila kona na vichochoro vya newyork vilikuwa kichwani.
Jamaa alikuwa mpambanaji. Fikiria mtoto wa waziri mkuu mstaafu then awe dereva wa taka, tena sio taka tu ni harzadaus waste ambazo zinahitaji special care.
 
Back
Top Bottom