Nitaweza tena kuishi na mwanamke...?Je ntafanyaje nisije pitia haya nayo Pitia.Na wewe ulie wahi kupitia haya uliponaje ukakaa sawa.

Umeandika pumba aisee. Yaani unamshawishi jamaa awe zoba waziwazi, goddamn!

Wewe ni mwanamke bila shaka.
 
Mwanamke akikuambia kakuchoka jua wazi kabisa anamaanisha, hivyo jaribu kujitathimini ni wapi ulikosea kama mwanaume. alafu kaanae chini faragha urekebishe nae, ikibidi igiza kujutia maana wanawake wanahuruma sana na uvumilivu upande wa pili.
Hakuna kitu anasema mwanamke na akamaanisha kwa 100%

Nina uhakika nawe mwanamke.
 
Wewe umeweka mapenzi kwa ndugu..

Mapenzi kwa mkeo umeacha...

Hii ndio sababu ya yote...

Rudisha mkeo nyumbani na kaa upande wake..

Upendo huvumilia, husame...
Kwamba afanyeje? Acha basiii! We mkaka wewe! Thubutuuuu.
1. Kupika ndo huwezi?
2. Kama ulizaa nae,uwezo wa kulea ndo hauna?
3. Kutandika kitanda chako au usafi ndo huwezi?
Matatizo mengine mnatafutaga wenyewe. Si lazima useme hapa. Lakini,wakati unajidai umepata pisi kali,ndo siku changamoto zilipoanza. Mpaka akutamkie kuwa hataki kuendelea na wewe,ulisubiri nini? Kwa hiyo,dunia nzima,ndo mwanamke pekee alozaliwa?
Yaani we huoni unakimbiza upepo. Umepata bahati ya pekee,lijitu linaenda kudanga huko,unalionea huruma. Acha liende. Kumpata mwingine wa nini? Kama kugegeda si unazama sokoni(gereji),unamwaga oil unasepa! #KataaNdoa
 
Tunataka kuolewa walioolewa wanavunja ndoa..daah.
 
Pole sana Kuna muda maumivu ndio yanatufanya tunakuwa na ujasiri ona ni sehemu ya maisha utakuwa sawa
 
Dah pole sana mwanangu, ila tatizo kajua udhaifu wako kuwa unampenda sana kuliko yeye anavyokupenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…