Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #41
Mapori yako mengi huku, ni kulima tuHakuna uwezekano ndoa ya kwanza ikaendelea ukiongeza mke wa pili
Kwenye Ukristo ndoa huwa ni moja pekee
Hata hivyo umesema huyo wa pili ndiyo umempenda sana kwasasa, ila nikukumbushe hata mkeo ulimwona mrembo mno mwanzoni
Kwahiyo hata huyo wa pili pia utamchoka in future
Nje ya mada; Unao Uchumi wa kuweza kutunza na kuwalea hao watoto 15 ama unatumia kauli mbiu kwamba "Riziki ya mbwa iko miguuni pake"?🤪
Zile hadithi kwamba "Mali mtaipata shambani" haipo miaka hiiMapori yako mengi huku, ni kulima tu
Maisha ya sasa, ata ukiwapa elimu hawaajiriki, si bora wapambane shambani kwa kulima na kufuga?Zile hadithi kwamba "Mali mtaipata shambani" haipo miaka hii
Wape Elimu bora na mtaji wa kuweza kufanya Kilimo biashara
Jembe la Mkono liliishia miaka yetu ya 47 Mkuu 🤪
Si umepeleke kwa mkeo umtambulishe kuwa ni mke mdogo mbona rahisi tu!Unanishauri nifanye nini?
Na maanisha wewe ni mkristo au muislamuKuwa na mke mmoja tu
Huo ni ntego mkuuu!!!
Titi hili 😍
Yes!!!mtego