Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

kweli maana tumetumia sana hii kitu bado tu
 

Kwa mtu mwenye chunusi uson apake nin?
 
Mkuu nmekuwa nikisumbuliwa na UTI Sugu na nmejaribu Dawa mbali mbali za hospitali bila mafanikio ...hivyo nakuomba unipe mwongozo jinsi ya kuondokana na hili tatizo
 
Kwa mtu mwenye chunusi uson apake nin?
inategemeana na chanzo cha tatizo, lakini machunusi sugu mara nyingi yanasababishwa na SUMU MWILINI.

Anza kufanya tiba ya kuondoa sumu mwilini, ikiwemo kuacha kunywa soda, juisi, nyama nyekundu, na mavyakula yote ya viwandani. Epuka madawa ya hospitali yasiyo na ULAZIMA.

TIBA NI VITUNGUU SWAUMU KILA SIKU ASUBUHI NA JIONI KWA MIEZI MITATU.

VITUNGUU SWAUMU VINAONDOA SUMU NA MATAKATAKA YOTE MWILINI PAMOJA NA KUONGEZA KINGA YA MWILI.

MACHUNUSI NA MAPELE YOTE YATATOKOMEAA POPOTE YALIPO.

PIA FANGASI, VIRUS NA MABAKTERIA YOTE YALIYO KWENYE DAMU YATAKUFA.

Hapa namjibu na Lubengera
 
Sasa mkuu mwembe pori unakua tofauti na miembe hii ninayoijua kama maembe dodo n.k
Mwembe pori unafananaje?
Mkundekunde ni hizihizi kunde za mboga?

Natanguliza Shukrani
Hizi ni aina tofauti zinavunwa kutoka kwenye mapori yetu.Mikoa ya pwani,Tabora baadhi ya sehemu kanda ya ziwa ipo ya kutosha.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nmekuwa nikisumbuliwa na UTI Sugu na nmejaribu Dawa mbali mbali za hospitali bila mafanikio ...hivyo nakuomba unipe mwongozo jinsi ya kuondokana na hili tatizo
Pole sana.Wakati mwingine hizo zinakuwa siyo UTI za kawaida ila ni zinaa kabisa.Nimekutana na hizi kesi mara nyingi sana kwa hiyo nafahamu.

Unapata dalili zipi? Funguka tukusaidie kama unatoa uchafu au usaha kwenye bomba sema hapa.Unaweza kuwa ulifakamia mwanamke mwenye PID unateseka na hao Bacteria.Hao mpaka mizizi strong kabisa.Ant biotics unaweza kunywa maisha bila mabadiliko.Unapata nafuu baada ya mwezi au miezi miwili hali inarudi.Kuwa muwazi.


Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kunywa au kupaka
 
Kwanza kabisa nashukuru sanaa kwa maelezo yako mkuu ...ila in short sio kwamba nimefakamia mwanamke mwenye PID Hapana bali ilitokea kwa sababu tu ya uchafu wa vyoo kwa sababu mimi ni mwanachuo hivo nilikuwa nakaa hostel ....na nilichelewa kutumia dawa mapema lakini pamoja nakutumia dawa lakini ilikuwa bure ,dalili nilizonazo ni maumivu wakati wak wa haja ndogo,mostly nikinywa maji mengi sanaa lakini muda mwingine hakuna maumivu na ni muda sanaa almost toka 2021 Mpaka sasa hivi hili tatizo linanisumbua sanaa mkuu
 
Hongera sana.
Vipi kuhusu dawa ya kisukari (diabetes)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…