Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

TAFUNA FUNGU ZIMA LA KITUNGUU SWAUMU ASUBUHI NA MCHANA FUNGU MOJA MOJA.

KWA MIEZI MIWILI NA KUENDELEAA. TAFUNA VIBICHI USIPONDE.
Utaua dokta utaua mgonjwa vitunguu Saumu ukila vingi vina side effect na moja wapo ni kusababisha kiungulia (heartburns) inashauriwa ule punje 1-2 kwa ajili ya afya yako kwa siku sio unabugia kichane kizima kichwa chako kijiandae maana ukila Kitunguu Saumu hua kinakimbilia kwenye kichwa kuamsha ma-vampire
 
mimi nina shida ya maumivu ya miguu nshafanya vipimo vingi kama kucheki cholestrol,glucose,uric acid na vengine ! kuna dr alinambia itakuwa mishipa ya damu ila kaishia kunipa dawa za maumivu naweza kutumia dawa gani kwa ajili yakuongeza mzunguko wa damu
 
Tumia asali kupaka na kusugua then iache ikauke kaa nayo hata masaa 5 then osha uso,fanya hivi mara 2 kwa siku baada ya siku 5 chunusi zote zitakauka na kutokomea,
Hii ni home remedy:

Dawa ya CHUNUSI ni dawa ya msuaki dawa ya meno Colgate pakaa baada dk 10 suuza uso wako
1×2
Siku 7/14
Utakua umepona

Epuka vifuatavyo

Usipakae mafuta au lotion yoyote yenye mafuta mafuta usoni

Hakikisha uso wako unakua mkavu
 
Ipi tiba Kwa Mwanamke mwenye PID sugu, kutoka maji meupe mazito kwenye uke wakati wa tendo yanatoa harufu ya kuudhi
Katumia vidonge vya kuweka ukeni box lina ua na azuma mara kadhaa lakini tatizo linarudi
Home remedy:

Kitunguu Saumu kula punje 1-2 kwa siku Mara 2
Siku 7/14
Binzari manjano changanya nusu kijiko kwenye glass ya maji kunywa mara 2 kwa siku
Siku 7/14
Kula vyakula vyenye bakteria wazuri km Yogurt kila siku Mara 2/3
Siku 7/14
Baking soda nusu kijiko weka kwenye glass kunywa Mara 1 kwa siku tena no vizuri unywe kila unapotoka kuamka
1×1
Siku 7/14

Epuka vifuatavyo:

Vyakula vya ngano
Matunda/vyakula vyenye asidi nyingi

Ili upone haraka ufanyaje?

Kula mbogamboga kwa wingi
Kula matunda yenye vitamini kwa wingi
 
Pole sana.Kama utaweza tuwasiliane

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi hapo umeongelea blood viscosity naomba unielimishe zaidi kuhusu hilo jambo maana kuna Dr. nilimuulizia akanielezea japo katika maelezo yake alisema haina shida.
Chanzo chake,dalili zake na tiba yake
Huo ni mnato wa damu. Ni kipimo cha unene na mnato wa damu ya mtu binafsi. Ni kipimo cha moja kwa moja cha uwezo wa damu kutiririka kupitia mishipa ya damu.

Uwezo wa damu kutiririka katika mishipa huamua ni kiasi gani cha msuguano ambacho damu husababisha katika njia zake, jinsi moyo unavyofanya kazi kwa bidii ili kusukuma damu kupitia mwili, na ni kiasi gani cha oksijeni kinachotolewa kwa viungo na tishu.

Mnato wa damu unahusishwa na sababu zote zinazojulikana za hatari kwa ugonjwa wa moyo na mishipa. Mnato wa damu ulio mkubwa ni hatari kwa sababu unaweza kusababisha matatizo katika mishipa ya damu na hatimaye tatizo la moyo.

Kwa hiyo lazima damu iwe katika uwiano sawia wa mnato unaotakiwa kiafya ili iwe nyepesi kutirika katika njia zake.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
shukran mkuu ubarikiwe sana

Sent from my SC-03J using JamiiForums mobile app
 
tafta majani ya kweme paka hilo eneo ,wiki moja inatosha

 
Hii tonic Nimeanza leo ingawa nilikosa Ndimu ya kukausha nikatumia limao la maji
Kuna mabadiliko kidogo nayaona kwanza Nimekua na msukumo wa kufanya mazoezi ingawa bado maumivu bado Ninayo lakini ile hali yangu ya kufanya mazoezi naiona
Nimekua na utulivu wa kihisia, uchovu umepungua

Sasa mkuu nikiongeza na Asali Vipi itakua poa? maana hii juisi inaonekana nikiweka asali Itabamba Sana
 
Safi sana,hongera kwa kuthubutu kujaribu! Kwa kuwa umekosa limao ya unga,hakikisha sasa unatumia limao ya kutosha ya maji ili iwe kali kidogo.

Mimi huwa ninayo Tonic iliyoandaliwa special kwa ajili ya wagonjwa wangu.

Pamoja tunaweza[emoji120][emoji120]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hii dozi ni asubuhi na jioni ama ni mara moja tuu kwa siku? Pili,asubuhi ni kabla ya kula chochote au ni baada ya kifungua kinywa?
 
Mkuu hii dozi ni asubuhi na jioni ama ni mara moja tuu kwa siku? Pili,asubuhi ni kabla ya kula chochote au ni baada ya kifungua kinywa?
Mara moja asubuhi kwa siku 3...uwe umekula au haujala sababu majani yenyewe ni kama mboga tu
 
Habari Wana jf

Nina mtoto miaka mitano Sasa alianza kusumbuliwa na degedege tokea akiwa mchanga

Kwa Sasa hawezi kutembea,kusimama , kukaa kuongea Wala kutafuna chakula vzr

Anakua viziri tu hospitali walisema ubongo wake musuli na uti wa mgongo hauna mawasiliano .

Naombeni ushauri n dawa gani ya mitishamba inaweza msaidia
 
Asante mkuu
Ndimu ya unga naipata leo
Nikimaliza dozi, Nitaleta mrejesho hapa
Shukrani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…