Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

Asante mkuu
Ndimu ya unga naipata leo
Nikimaliza dozi, Nitaleta mrejesho hapa
Shukrani sana
Kuna kitu kinaitwa black fungi,unakuta imesagwa vizuri ni nyeusi rangi ya mkaa uliosagwa vyema.Kama unaweza kuipata niambie nikuelekeze pia namna unavyoweza kuitumia sambamba na hiyo Tonic.
Nakuhakikishia baada ya mwezi.Utanitumia zawadi nzuri.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu black fungi naipata supermarket pia au maduka gani wanauza
Hii vinegar nimepata ya Apple Au lazima Ile nyeupe kama maji
 
Shukrani sana kiongozi kwa ufafanuzi
Nimeuliza hili swali kutokana na changamoto kidogo,nilikua mdau wa kuchangia damu ila mara 2 nilipata changamoto maana damu ilikua inatoka kwa shida sana japo damu ya kutosha ilikuwepo.
Dr. akaniambia ni viscosity ila akasema haina shida kumbe inabidi nifuatilie kwa kina.
 
Acha ulongo wewe,kwahiyo ukikuta ngozi za wanyama huo ni ushirikina!?,nambie dawa ambazo ni zahospital ila hazina mashariti,taja dawa hizo hapa tujue,hizi dini zenu za kukalili zinawaharibu sana
 
Uzi unakwenda page ya nane halafu sijaona mtu anaulizia dawa ya nguvu za kiume au mnaenda pm, hizi aibu ndo zinafanya vijana tunashindwa kuuza mahindi barabarani tukapata hela, mkuu ukitulia tupe mizizi tuongezee booster utakuwa umesaidia wengi sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
By the way kwa upande wangu binti yangu anasumbuliwa na kifua, doctor anasema ni cha allergy maana hana pumu hana ammonia, unaweza kuwa na mizizi yake hii boss
 
Mkuu black fungi naipata supermarket pia au maduka gani wanauza
Hii vinegar nimepata ya Apple Au lazima Ile nyeupe kama maji View attachment 2558956
Aisee hakika uko serious[emoji120][emoji120] Black fungi inapatikana kwenye supermarket pia ingawa ni adimu sana mpaka ubahatishe.Huwa ipo tunaiandaa kwa njia za asili na inakuwa the best sana,ukikwama nitakupa usaidizi kwa kuchangia gharama zake.

Bila shaka hiyo Venegar ni 1L.Hakikisha sasa unamix na robo kilo ya hiyo limao ya unga then unaongeza kiwango cha maji kama nilivyoelekeza.

Ukipata sasa na hiyo black fungi ya unga,unakuwa unamix kijiko kimoja kwenye maji moto plus vijiko vitatu vya tonic kwenye glass yako.Unatumia asubuhi na jioni.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Niko serious mkuu
Ntakucheki ili nipate hiyo booster yake
Ujanijibu Hii vinegar ya apple itafaa au lazima Ile white?
 
Hiyo ni shida kubwa,subiri wakati sahihi wa hiyo shida ukifika utajua vizuri.Si ajabu ukatumia gharama kujitibu kuliko unavyofikri sasa.Dr anakwambia siyo shida wakati damu haitembei kwa mtiririko unaotakiwa??

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Uzi unakwenda page ya nane halafu sijaona mtu anaulizia dawa ya nguvu za kiume au mnaenda pm, hizi aibu ndo zinafanya vijana tunashindwa kuuza mahindi barabarani tukapata hela, mkuu ukitulia tupe mizizi tuongezee booster utakuwa umesaidia wengi sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mama mchungaji mwanamke alisema wale wanaosumbuliwa na nguvu za kiume wapite mbelee
Nikasubiria nione mtu atapita hakwenda hata mmoja [emoji23][emoji23] nacheka kama mazuri
 
Yaani inashangaza kwakweli wakati dadazetu kila siku hawaishi kulalama vijana tumekuwa kama jogoo
 
Acha ulongo wewe,kwahiyo ukikuta ngozi za wanyama huo ni ushirikina!?,nambie dawa ambazo ni zahospital ila hazina mashariti,taja dawa hizo hapa tujue,hizi dini zenu za kukalili zinawaharibu sana
Unajua kama ujui kitu, kubali kuelimishwa,siyo kupinga kitu ambacho hujui.Mimi nimesoma jinsi ya kumjua mganga wa kweli na wauongo,Sababu kuna vitabu vingine kama Quruani ni sawa,ukisomewa baadhi ya Aya,

Lakini huruhusiwi kuchanganya na ushirikina,na kunabaadhi ya Mashehe huchanganya na Ushirikina
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mama mchungaji mwanamke alisema wale wanaosumbuliwa na nguvu za kiume wapite mbelee
Nikasubiria nione mtu atapita hakwenda hata mmoja [emoji23][emoji23] nacheka kama mazuri
Alikwenda mmoja tu
 
Mi tatizo langu Gesi bhana dah!!!! Inanisumbua kweli kweli.... nikinywa Soda au kula Karanga au Korosho mfano asubuhi Tumbo linajaa naweza nisule siku nzima au nikila usiku hadi nikiamka asubuhi bado nimeshiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…