Naomba kufahamu bei ya robota ya koti za suti na suruali na mahali zinapopatikana. Mawasaliano 0754719823Habari wana JF,
Kichwa cha habari kinajielezea,
Huu ni uzi wa kipekee unaohusu maswala yote yahusuyo biashara, masoko na mauzo, kwa hiyo kama utakuwa una kitu chochote unahitaji kufahamu juu ya vitu nilivyotaja hapo juu usisite kuuliza maana mimi au mtu yeyote atakaye fahamu atakupa majibu yanayohitajika.
Karibuni sana
Yani anunue mtumba Dar akauze Mbeya? Are you serious mkuu! Mtumba ulivyo cheap Mbeya sasa atapata faida gani? Unajua kwamba kuna uwezekano wa raba pair moja ya Tshs. elfu 8 Mbeya Dar ukaiuza kwa tshs.elfu 40!yule wa mbeya mwenye milioni moja , changamkia fursa msimu ndio huu kwa mbeya kuna mpunga , choroko, soya na ufuta kanunue vijijini halafu unaenda kuuza mbeya kwenye godowns za wabongo au wahindi na kwa mpunga kanunue vijijini unaenda kukoboa mjini unauza mchele pesa itazunguka nakusihi usifanye biashara ya mali kuoza kama ndizi, nyanya na vitunguu kama hauna uzoefu navyo, lakini pia unaweza kwenda kununua makoti ya lazer nakonde upande wa zambia na kuyauza pale sido , au kanunue mtumba hata belo 2 dar then kachane pale sido lkn kabla ya kufanya biashara fanya utafiti zaidi tafadhali.
Hahahah ongeza siku mkuu, huyu jamaa katoa nafasi ya kuulizwa maswali halafu kaingia mitini.Mkuu umenifanya nichekee kwenye daladala hadi watu wakanishangaa
KiruuuuuuuuuuuuuuuuuUulizwe maswali yote we google?
Isitoshe hujajibu hata moja mpaka sasa, mi nataka kujua majina ya watu elfu 5 waliokula mkate mmoja wa yesu wakashiba?
Mm Nina biashara ya dagaa wa mwanza biashara yangu nafanyia Tabora, nahitaji pia kupata solo la mikoa ya kusini, je utanisaidiaje?Habar mkuu!! Mimi natafuta soko la karanga, nipo dodoma
Mm Nina biashara yangu ya kuuza dagaa wa mwanza biashara nafafanyia Tabora mjini nahitaji kujitanua zaidi kibiashara nahitaji kupata soko mikoa ya kusini Lindi Mtwara Songea na Iringa naomba unisaidie kupata masoko au washirika tutakaofanyanao biashara.Habari wana JF,
Kichwa cha habari kinajielezea,
Huu ni uzi wa kipekee unaohusu maswala yote yahusuyo biashara, masoko na mauzo, kwa hiyo kama utakuwa una kitu chochote unahitaji kufahamu juu ya vitu nilivyotaja hapo juu usisite kuuliza maana mimi au mtu yeyote atakaye fahamu atakupa majibu yanayohitajika.
Karibuni sana
HahaaaaaaaUulizwe maswali yote we google?
Isitoshe hujajibu hata moja mpaka sasa, mi nataka kujua majina ya watu elfu 5 waliokula mkate mmoja wa yesu wakashiba?
Upo mbeya sehemu gani mkuu?Mkuu mi naishi mbeya nilikuwa natamani sana kuanza biashara ya mazao kutoa mbeya kuleta dar kama mchele maharage kwa kuanza mtaji wangu ni 3M je unanishaulije mkuu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nipe namba yako ya simMbeya mjini kaka
Sent from my iPhone using JamiiForums