yule wa mbeya mwenye milioni moja , changamkia fursa msimu ndio huu kwa mbeya kuna mpunga , choroko, soya na ufuta kanunue vijijini halafu unaenda kuuza mbeya kwenye godowns za wabongo au wahindi na kwa mpunga kanunue vijijini unaenda kukoboa mjini unauza mchele pesa itazunguka nakusihi usifanye biashara ya mali kuoza kama ndizi, nyanya na vitunguu kama hauna uzoefu navyo, lakini pia unaweza kwenda kununua makoti ya lazer nakonde upande wa zambia na kuyauza pale sido , au kanunue mtumba hata belo 2 dar then kachane pale sido lkn kabla ya kufanya biashara fanya utafiti zaidi tafadhali.