Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Je unafanya dental implant? Na kama unafanya je jino moja unatengeneza kwa Sh ngapi nije?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hatufanyi Dental implant, tunafanya partial and Full denture zote Acyrilic, Ceramics na ZinconiaJe unafanya dental implant? Na kama unafanya je jino moja unatengeneza kwa Sh ngapi nije?
Unatoa huduma hiyo? Je gharama zipoje?Ndio mkuu inawezekana
Meno yananiuma nikila nyamaa hii imekaaje mkuuMimi ni mtaalamu wa afya ya kinywa na meno napatikana Magomeni - Dar es Salaam na Kibaha -pwani
Kama una swali au changamoto yoyote kuhusu kinywa na meno niandikie hapa chini nitajitahidi kujibu kadri ya uwezo wangu.
Kinywa chenye afya, mwili wenye furaha.
- Katika vituo hivyo vya kazi pia natoa huduma zifuatazo kwa gharama rafiki kabisa .
- Elimu ya kinywa na meno
- Kuziba meno yaliyotoboka
- Kusafisha meno na kung'arisha meno
- Kupanga meno (braces)
- Kuweka meno bandia (partial/full denture )
- Huduma ya mzizi wa jino (root canal treatment)
- Urembo wa meno
- Veneers, bleaching, crowns and bridges
View attachment 3117272
ungeweka bei tu ili mtu ajue mapema anajipanga vipiNaomba Tuwasiliane hapa 0658 950 085
Hii picha sioni VizuriKwanini kuna watu wana meno kama jembe lililokwisha na hayaumi
View attachment 3118113
🤣Hii picha sioni Vizuri
Kukaa kwenye AC au feni kunabadili joto la chumba hivyo kama ambavyo inazidi mwili huhisi baridi na kutetemeka hata meno hivyo hivyo, baridi ikizidi kuliko Ile hali ya kawaida ya kinywa meno yanatabia Moja yenyewe chochote kitacho enda kwake hakihisi baridi au joto kama ilivyo ngozi ila yakitokea mabadiriko ya hali ya hewa hasa baridi jino hutafsiri ni maumivu na hapa tunazungumzia Kwa yule mtu ambae meno yake yameanza kulika (abrasion) Kwa kupiga maswaki Kwa nguvu au yule anae fungulia vizibo meno. Hio hali haimpati Kila mtuKwanini watu wanao kaa Sana karibu na air-conditioning au feni kwa muda mrefu wanapata tatizo la meno kufa ganzi
Ni Nini solution kwa mtu Kama huyo..
Nasubiri jibu hapaNaomba maelezo ya hii picha
View attachment 3118117
Maelezo ya kitaalam kulingana na kinachoonekana hapo kisha toa ushauri.
Mkuu hiyo ceramic inakaa kwa mda gani bila kutoka au kuharibika?Hapana hatufanyi Dental implant, tunafanya partial and Full denture zote Acyrilic, Ceramics na Zinconia
PFm - 350,000 /=
E- Max 400,000 /=
Acyrilic 100,000/=
Kwa jino , karibu Nitafurahi nikikuhudumia
Hizo apo ni mfano wa kazi za ceramics Crowns View attachment 3118095View attachment 3118096View attachment 3118097