Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe,si kinywa kimoja,nimeangalia kwa makini hata shape ya meno ya mbele kinywa cha juu yamepinda lkn kinywa cha chini yamenyooka kabisa,tena yale meno mawili ya mbele ya juu ni tofauti kabisa na ya chiniMkuu hapa umetupiga kuangalia hayo meno juu na chini si kinywa kimoja!!
Hana SmartphoneJibu maswali, unazingua
kuwasiliana ikiwemo na kukutana ukayacheki hayo meno au?Kila mtu ana changamoto yake hivyo , unaweza weka bei hapa ikawa tofauti na tatizo alillo nalo mhusika. Tukiwasiliana inakuwa vizuri zaidi
Kinywa kimoja utofauti ni kabla na baada ya matibabuNakubaliana na wewe,si kinywa kimoja,nimeangalia kwa makini hata shape ya meno ya mbele kinywa cha juu yamepinda lkn kinywa cha chini yamenyooka kabisa,tena yale meno mawili ya mbele ya juu ni tofauti kabisa na ya chini
Hakuna uhatari wa kuondoa jino lililoharibika zaidi , hivyo utakuwa umeepukana na risk ya kupata uvimbe, na usaha kwenye jino husika .Jino langu limeisha kukatika na kubaki vipande(Gego) la juu ni la pili kutoka mwisho nimembiwa kuling'oa hili ni kuchimba maanalim mzizi wake.
Ni ipi hatari yake kung'oa jno la namna hii