Niulize chochote kuhusu afya ya kinywa na meno, nitakujibu

Je unafanya dental implant? Na kama unafanya je jino moja unatengeneza kwa Sh ngapi nije?
 
Je unafanya dental implant? Na kama unafanya je jino moja unatengeneza kwa Sh ngapi nije?
Hapana hatufanyi Dental implant, tunafanya partial and Full denture zote Acyrilic, Ceramics na Zinconia
PFm - 350,000 /=
E- Max 400,000 /=
Acyrilic 100,000/=
Kwa jino , karibu Nitafurahi nikikuhudumia
Hizo apo ni mfano wa kazi za ceramics Crowns
 
Meno yananiuma nikila nyamaa hii imekaaje mkuu
 
Naomba maelezo ya hii picha


Maelezo ya kitaalam kulingana na kinachoonekana hapo kisha toa ushauri.
 
ungeweka bei tu ili mtu ajue mapema anajipanga vipi
Kila mtu ana changamoto yake hivyo , unaweza weka bei hapa ikawa tofauti na tatizo alillo nalo mhusika. Tukiwasiliana inakuwa vizuri zaidi
 
Kwanini watu wanao kaa Sana karibu na air-conditioning au feni kwa muda mrefu wanapata tatizo la meno kufa ganzi

Ni Nini solution kwa mtu Kama huyo..
Kukaa kwenye AC au feni kunabadili joto la chumba hivyo kama ambavyo inazidi mwili huhisi baridi na kutetemeka hata meno hivyo hivyo, baridi ikizidi kuliko Ile hali ya kawaida ya kinywa meno yanatabia Moja yenyewe chochote kitacho enda kwake hakihisi baridi au joto kama ilivyo ngozi ila yakitokea mabadiriko ya hali ya hewa hasa baridi jino hutafsiri ni maumivu na hapa tunazungumzia Kwa yule mtu ambae meno yake yameanza kulika (abrasion) Kwa kupiga maswaki Kwa nguvu au yule anae fungulia vizibo meno. Hio hali haimpati Kila mtu

Unafanyaje muhimu kuchunguzwa kujua aina ya meno Yako Ili upewe tiba ya dawa ya maswaki au dawa ya kupaka kutokana na Tatizo
 
Gharama za kung'oa jino ni sh ngap kwenye hospital za serikal na binafs?
 
Mkuu hiyo ceramic inakaa kwa mda gani bila kutoka au kuharibika?
Nitakuja boss, naomba uweke picha zaidi kwa kazi zingine ila kwa ridhaa zao
Sio lazima uso wote
Je kuziba mnaziba kwa nini
Miaka mingi sana iliyopita nilizibiwa na mercury mpaka leo bado ipo na sijawa na tatizo kabisa
Mnatumia mercury au marufuku siku hizi
 
Naomba kujua bei ya meno bandia,moja moja na bei ya full set ya chini na juu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…