Niulize chochote kuhusu afya ya kinywa na meno, nitakujibu

Mkuu hapa umetupiga kuangalia hayo meno juu na chini si kinywa kimoja!!
Nakubaliana na wewe,si kinywa kimoja,nimeangalia kwa makini hata shape ya meno ya mbele kinywa cha juu yamepinda lkn kinywa cha chini yamenyooka kabisa,tena yale meno mawili ya mbele ya juu ni tofauti kabisa na ya chini
 
Mbona kwenye comment kasema anajibu ila wahariri wa mtandao wanachelewa kuruhusu majibu yake kwakuwa wana yahakiki

Napongeza wahariri juu ya hili,maana hizi ni afya za watu hivyo umakini ni muhimu sana
 
Kila mtu ana changamoto yake hivyo , unaweza weka bei hapa ikawa tofauti na tatizo alillo nalo mhusika. Tukiwasiliana inakuwa vizuri zaidi
kuwasiliana ikiwemo na kukutana ukayacheki hayo meno au?
 
Nini husababisha fizi kutoa damu? Na gharama za matibabu ziko je?!
 
Jino langu limeisha kukatika na kubaki vipande(Gego) la juu ni la pili kutoka mwisho nimembiwa kuling'oa hili ni kuchimba maanalim mzizi wake.
Ni ipi hatari yake kung'oa jno la namna hii
 
Mmh haya maswali yenu hata kama mm ningekuwa mtaalam ningekimbia
 
Kwann ulaya,marekan nk bei za tiba ya meno ni kubwa kuliko Africa??
 
masticatory coefficient of at least 40% ina maana gani katika afya ya kinywa?
 
Naomba kujua gharama ya huduma hizi.

1. Kusafisha meno, kuondoa plaque n.k
2. Kung'arisha meno.
 
Nakubaliana na wewe,si kinywa kimoja,nimeangalia kwa makini hata shape ya meno ya mbele kinywa cha juu yamepinda lkn kinywa cha chini yamenyooka kabisa,tena yale meno mawili ya mbele ya juu ni tofauti kabisa na ya chini
Kinywa kimoja utofauti ni kabla na baada ya matibabu
 
Nini husababisha fizi kutoa damu? Na gharama za matibabu ziko je?!
Magonjwa ya Fizi ( Gingivitis) hivyo unaweza pata huduma ya kusafisha meno yako kwa gharama ya tsh 100,000 ukawa sawa, karibu nikuhudumie
 
Jino langu limeisha kukatika na kubaki vipande(Gego) la juu ni la pili kutoka mwisho nimembiwa kuling'oa hili ni kuchimba maanalim mzizi wake.
Ni ipi hatari yake kung'oa jno la namna hii
Hakuna uhatari wa kuondoa jino lililoharibika zaidi , hivyo utakuwa umeepukana na risk ya kupata uvimbe, na usaha kwenye jino husika .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…