Niulize chochote kuhusu Bachelor of Clinical Medicine and Surgery (BCMS)

Hizo tofauti ni zipi?nadhani ndio msingi wa swali.

#MaendeleoHayanaChama
Binafs sinawahi kuona tofauti zaidi ya utofauti wa miaka ya kusoma.

Kila kitu anachosoma na kufanya MD kipindi chote cha kozi yake BCMS anafanya pia Including Cadaver dissection ,Junior and senior rotation.

Zaidi BCMS wa miaka 4 anafanya semester 12 (Kuna semester 3 Kwa mwaka hutegemeana na chuo.

BCMS wa miaka 3 anasoma jumla ya semester 9 .

MD anasoma semester 10 (Kwa miaka 5 ,Kwa mwaka anasemester 2)

Naomba kuweka curriculum ya MD na BCMS
 
Acheni uzembe BCMS ndo Elimu gani hizo.??Someni MD ndiyo maana AMO ilifutwa hamuwezi kusoma MD means hamnaakili ya kuwa madaktari !
 
Hoja dhaifu, fear of uncertainty...
 
Acheni uzembe BCMS ndo Elimu gani hizo.??Someni MD ndiyo maana AMO ilifutwa hamuwezi kusoma MD means hamnaakili ya kuwa madaktari !
Wewe jamaa acha roho mbaya...wewe hizo akili ndio zinakifanya uweke comment ya hovyo..kaa kutulia.

#MaendeleoHayanaChama
 
We jamaa kama unachat humu huku unasurgerize jiangalie usije ukasahau mswaki tumboni!
 
Wasomi wa nchi hii akili zao wanazijua wenyewe...hapo ndio maono yao yamefika mwisho?
 
Wasomi wa nchi hii akili zao wanazijua wenyewe...hapo ndio maono yao yamefika mwisho?
Kuna fursa nyingi sana watanzania wanakosa kwa sababu ya mwasomi wapumbafu na wenye uchu wa mdaraka walio kwenye ngazi za maamuzi...hivi kuna ubaya gani wa hiyo kozi kuanza hapa nchini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu, je rwanda wana course equivalent na md ya kwetu?
 
Nimemaliza mwaka wa 5 ila nina sup moja chuo. Jina langu linaweza likapelekwa MCT ili nianze intern nikisubiri kufanya hiyo sup mbeleni ???
 
Kuna fursa nyingi sana watanzania wanakosa kwa sababu ya mwasomi wapumbafu na wenye uchu wa mdaraka walio kwenye ngazi za maamuzi...hivi kuna ubaya gani wa hiyo kozi kuanza hapa nchini.

#MaendeleoHayanaChama
ni ufinyu wa fikra,degree mbili tofauti,kazi moja,shida iko wapi?..watu wanaacha kufikiri kwa maslahi mapana ya uma wanajali interest zao binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…