Kuna vitu hapa sijaelewa.
Kwa mfano.
-Huko kwenye hizo nchi ambako hiyo kozi inatolewa, wahitimu wanatambulika kama equivalent to MD?
-Kama karibu kila kitu kinafanana na MD, kwanini hapa Tz mfumo wa ajira ukutambue kama AMO?
-Ni vipi mhitimu wa hiyo kozi atambulike kwa Prefix ya Dr wakati hiyo prefix inamuhusu mhitimu wa degree ya kwanza ya Doctor of Medicine?
-Jamii inaweza kumuita mtu yoyote anayetibu mgonjwa kuwa ni Dr, lakini linapokuja suala la kiofisi rasmi inaweza isiwe hivyo. Je kwa mhitimu wa hii kozi, je rasmi mamlaka za kiserikali na muundo wake unamtambua kama Dr ?

Maswali mazuri sana.
Waanzilishi wahii kozi ni Kenya nchi nyingine zilifuata baada ya Kenya Kati ya nchi zote ,ni South Sudan Pekee ambayo iliruhusu wahitimu kuwa sawa na MD(MEDICAL OFFICER) .Nchi nyingine kama Zambia ,Malawi na Tanzania ziliwapa hadhi kidogo kwa kuwapa hadhi ya Jina jipya(MEDICAL LANCIENT (ML) na kuruhusu kuanza na Dr officially.
Kenya,Uganda na Rwanda wanaita Clinical officer with Bachelor level kubwa tu niongezeko la mshahara kwao in fact wanalipwa vizuri compare to any other countries. Huku mwenye diploma Ina Clinical medical akiitwa Registered Clinical officer.
2.Shida ya miaka ya kuhitimu ndiyo tatizo,hili swali nilijibu mwanzo vizuri kuwa content tunafanana.MD anasoma miaka 5 in semester wise na kukamilisha semester 10.BCMS anamaliza miaka 3 au 4 hutegemeana na chuo in trimester wise (Kwa mwaka ni semester 3) na kukamilisha semester 9 au 12 respectively.
Utofauti huo ulisababisha kuumiza vichwa na kufikia uumuzi wa not equal to MD .
3.Nimeeleza zaidi ya mara mbili humu BCMS we are official allowed to start with prefix "Dr".Not only in patient perspective but also officer.
Ingia MCT such Makina haya
1.Dr.Adela Maria
2.Dr.Walter Kumaro
3.Dr.Simion Angelo Sylvester
Halafu such majina ya clinical officer au AMO yeyote unayemjua utaona utafauti.
Clinical officer MCT hajampa Initial title ya Dr
AMO MCT haijampa initial tittle