feyzal habari yako Tabibu.
Gharana za BCMS (Bachelor of clinical medicine and surgery ) hutegemeana na nchi na chuo.Hak3una fixed amount .
Mfano :Kenya Kuna vyuo 9 vinavyotoa kozi hii na Kati ya hivyo vyuo kuna vya binafsi na vya Umma.
KISII UNIVERSITY (Kenya) Ada Tsh 4M Kwa mwaka
MOUNT KENYA ADA mi TSH 3M Kwa mwaka
GREAT LAKES UNIVERSITY (private) Ada ni TSH 6M unalipa mara tatu maana Hawa wanasemeter tatu Kwa mwaka(TRIMESTER)
RWANDA UNIVERSITY ADA nilikuwa nalipa TSH 4M Kwa mwaka.
Zambia University Ada Tsh 2.5M Kwa Mwaka
KIU (Uganda) Ada ni Tsh 5M
VIGEZO:
Diploma of clinical medicine(Hakuna uhitaji wa GPA ) wao wanataka certified ,licenced and verified certificate.
ANGALIZO:Ukirudi Tanzania kama GPA yako ilikuwa chini ya 3.0 utatakiwa kusoma FOUNDATION COURSE ya OPEN UNIVERSITY ILI waweze kuverify cheti chako.MCT hawatakupokea bila TCU verification.
Kuna mambo matatu kama GPA yako iko chini 3.0 usome Kwanza FOUNDATION YA OUT ndipo uende kusoma BCMS au Uende kusoma BCMS kwenye hizo nchi lakini ujue kuwa una TCU la GPA.
Tatu kama unaweza usome vyote viwili kwa wakati mmoja.