Niulize chochote kuhusu Bachelor of Clinical Medicine and Surgery (BCMS)

Nchi zinazotoa Bachelor of clinical medicine kwasasa ni

1.Kenya
2.Uganda
3.Zambia
4.Malawi
5.Rwanda.

Hii kozi inatolewa Kwa namna tatu,Kuna vyuo vinatoa

Bachelor of clinical medicine and Surgery

1.Uzima University Private (Kenya)
2.Kisii University -Public (Kenya)

3.Kabarak University -Public (Kenya)

Bachelor of clinical medicine,surgery and community health

1.Great Lakes University of Kisumu (Private)-Kenya

2.Kabianga University -Private(Kenya)

Bachelor of clinical medicine and community health

1.Mount Kenya University -Private

2.Ergoton University

3.Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology(JKUAT)

4.Zambia University

5.Kampala International university-Uganda

6.Rwanda National University

7.University of Malawi
Do it for your own benefit.Tanzania ni kichwa cha mwenda wazimu .Kuna watu nawajua walihangaika Sana kupata ELIMU wametoka familia za kimasikini baada ya kupata madaraka wanabania wengine.Wao walihisi wanaweka Elimu ya Tanzania kuwa bora kwenye uso wa dunia lakini ,mipango yao yote haina positive result Kwa miaka 5 sasa tangu wabane.
 
Yes ilikuwa ianzishwe na curriculum ilikuwa tayari UDOM ndo walikuwa tayari lakini MAT (Medical Association of Tanzania) walipinga Sana hili kuwa kutatokea ugomvi baina ya MD na BCMS haiwezekani degree mbili zikakaa pamoja .Wakarefer ugomvi uliopo Kati ya AMO na MD kwa siku za nyuma.
Nikusaidie mtu kwanza kupinga hili ni Dr.Elisha Olesti alikuwa mwemyekiti wa MAT na juzi kwenye group moja la WhatsApp la madakatari aliindika hivi "TUNATAKIWA KUSHUKURU SANA MAT MAANA BILA MAT SASA HIVI TUNGEKUWA NA MADAKTARI WE GI WENYE DEGREE ZA SHORT CUT MIAKA 4 ,KAMA MWENYEKITI NILISIMAMA KIDETE KUWAPIGANIA MADAKTARI ,NDIYO MAANA SASA HIVI WOTE MKO KWENYE MFUMO RASMI "mwisho wa kumnukuu Dr.Elisha.
Mchawi wenu mwingine ni Dr.Mzava kutoka Baraza la usajili.
 
Osat hua kama ni mlimbukeni hivi na mshamba sana..sijui walimuokota wapi.

Chamsingi kuna kazi kubwa sana ya kufanya..sio shida hawa watu kuingia kwenye mfumo kama madaktari kwasababu anachofanya md ndio walichikifanya..shida ni nini sasa..mbona nchi zingine hawa wanatambulika hadi vyuo vipo..shida hapa ni ubinafs na uchu wa madaraka..na umimi uliopitiliza..hawataka kuona watanzania wakifurahia huduma za afya.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Do it for your own benefit.Tanzania ni kichwa cha mwenda wazimu .Kuna watu nawajua walihangaika Sana kupata ELIMU wametoka familia za kimasikini baada ya kupata madaraka wanabania wengine.Wao walihisi wanaweka Elimu ya Tanzania kuwa bora kwenye uso wa dunia lakini ,mipango yao yote haina positive result Kwa miaka 5 sasa tangu wabane.
Nilipokua kua college kulikua na demu mmoja hivi Alikua anatufundisha Paed alikua mnoko kishenzi yaani mkifeli yeye anafuraha ya ajabu kuna siku alitoa pepa..tukavuka 50 watu 9 pekee kati ya 71 basi alikua akifurahi vibaya sana na wodini alikua anakula kichwa huku anacheka...baada ya kuchunguza tukagundua alisoma enzi za kwenda shule peku na maisha magumu sasa ile akili ameihamishia kwa wanafunzi anasema hakuna kufaulu kwa urahisi anaweza akaweka neno gumu kwenye sentensi mpaka ukagugo aisee ilimradi tu akuvuruge ila kwa maajabu pepa za nacte tulimpiga K.O kwenye Somo lake sup zilikua 6 tu kwa watu 71.
 
Nikusaidie mtu kwanza kupinga hili ni Dr.Elisha Olesti alikuwa mwemyekiti wa MAT na juzi kwenye group moja la WhatsApp la madakatari aliindika hivi "TUNATAKIWA KUSHUKURU SANA MAT MAANA BILA MAT SASA HIVI TUNGEKUWA NA MADAKTARI WE GI WENYE DEGREE ZA SHORT CUT MIAKA 4 ,KAMA MWENYEKITI NILISIMAMA KIDETE KUWAPIGANIA MADAKTARI ,NDIYO MAANA SASA HIVI WOTE MKO KWENYE MFUMO RASMI "mwisho wa kumnukuu Dr.Elisha.
Mchawi wenu mwingine ni Dr.Mzava kutoka Baraza la usajili.
Hivi Dr Elisha ana elimu gani ni Degree tu au ana Master?
 
Nilipokua kua college kulikua na demu mmoja hivi Alikua anatufundisha Paed alikua mnoko kishenzi yaani mkifeli yeye anafuraha ya ajabu kuna siku alitoa pepa..tukavuka 50 watu 9 pekee kati ya 71 basi alikua akifurahi vibaya sana na wodini alikua anakula kichwa huku anacheka...baada ya kuchunguza tukagundua alisoma enzi za kwenda shule peku na maisha magumu sasa ile akili ameihamishia kwa wanafunzi anasema hakuna kufaulu kwa urahisi anaweza akaweka neno gumu kwenye sentensi mpaka ukagugo aisee ilimradi tu akuvuruge ila kwa maajabu pepa za nacte tulimpiga K.O kwenye Somo lake sup zilikua 6 tu kwa watu 71.
Ukweli ni huo Dr.Osati alikuwa na maisha magumu sana.Kilicho msaidia Dr.Mzava alisoma bure kuanzia degree ya Kwanza mpka master's of medicine of paediatric and child health .
 
Ana elimu gani ya zaid Elisha?
 
Master's of medicine in Internal medicine(Physician)
 
Wakuu mimi niko nje ya mada. Kuna hii Bsc in Biomedical engineering nataka nifatilie admission Makerere university nikasome. Naombeni ushauri wenu.
 
Anzisha uzi wako unahusiana na Biomedical Engineering.

Lakini pia Kuna nyuzi nyingi humu zinazohusiana na Biomedical Engineering acha kuharibu thread Samvurah

Mwisho kwanini uende Makerere wakati Tanzania inatoa Bachelor of Biomedical Engineering
1.MUHAS wanatoa Bachelor of Biomedical Engineering
2.ARUSHA TECHNICAL COLLAGE (ATC) wanatoa bachelor of Biomedical Engineering
 
Hapo hawachukui PCB mkuu. Ila makerere wanachukua mchepuo huo kwa A,level applicants.
 
Naomba kujuzwa sehemu ya kusoma shahada ya physiotherapy kwa kutumia matokeo ya kidato cha sita.
Kwa Tanzania Kwa level ya Diploma ni BUGANDO(Mwanza health and allied science ) na KCMC
Kwa Bachelor degree ni KCMC tu

Master's degree Kwa East Africa no Mount Kenya University pekee
 
Nashukuru sana mtaalamu.
 
Back
Top Bottom