jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kwanza itasaidia kuongeza wingi wa madaktari nchini..ili kufanikisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi..hii nchi ina wasomi wapumbafu sijapata kuona.ni ufinyu wa fikra,degree mbili tofauti,kazi moja,shida iko wapi?..watu wanaacha kufikiri kwa maslahi mapana ya uma wanajali interest zao binafsi.
Daktari!Uko sahihi ndiyo maana baada ya wadau kuamua iwepo Tanzania mwaka 2015 !Wenye akili nyingi kama wewe walikataa.Lakini pia pamoja na kukataa watu tukaenda kusoma nje na TCU ikawa haina ujanja wa kukataa ni Universal course.Acheni uzembe BCMS ndo Elimu gani hizo.??Someni MD ndiyo maana AMO ilifutwa hamuwezi kusoma MD means hamnaakili ya kuwa madaktari !
Kuna vitu hapa sijaelewa.
Kwa mfano.
-Huko kwenye hizo nchi ambako hiyo kozi inatolewa, wahitimu wanatambulika kama equivalent to MD?
-Kama karibu kila kitu kinafanana na MD, kwanini hapa Tz mfumo wa ajira ukutambue kama AMO?
-Ni vipi mhitimu wa hiyo kozi atambulike kwa Prefix ya Dr wakati hiyo prefix inamuhusu mhitimu wa degree ya kwanza ya Doctor of Medicine?
-Jamii inaweza kumuita mtu yoyote anayetibu mgonjwa kuwa ni Dr, lakini linapokuja suala la kiofisi rasmi inaweza isiwe hivyo. Je kwa mhitimu wa hii kozi, je rasmi mamlaka za kiserikali na muundo wake unamtambua kama Dr ?
Maswali mazuri sana.Kuna vitu hapa sijaelewa.

Sorry!Kuna vitu hapa sijaelewa.

Usifiche sana hicho vhuo3ni MUHAS..kuna wazee wanajiona wenyewe ndio alfa na omega wa hicho chuo..hadi kufikia kubana sana gpa..mwisho wasiku vijana wanamaliza na gpa ndogo sana..hata wakita nafasi za wakufunzi wengi vijana wamuhas hawapati kwakuwa kigezo ni kidogo.Siasa nyingi... na hii imetuweka nyuma sana kwenye mambo mengi.
Kuna "cult" flani ipo hasa kwenye chuo cha wanaojiona wao ndo "brain ya Tanzania"
Kwa hiyo mentality wamejikuta hata wahitimu wao wanakosa GPA za kuwa wakufunzi hasa baada ya kuwakomoa kwa kuwapa maksi ndogo.
Poleni sana wahanga.. ila hicho kizazi "limbukieni" kinafikia ukingoni(machweo)
WADAU MMENiELEWA
Awako seriously kabisa Hawa jamaa yaani uo ni mshahara wa askari tu mwenye bachelor ya IT tena yeye na zaidi pia na maposho na aliesoma miaka mitatu tu kwa ada ndogo sio iyo sijui milion 4 sijui 3Kusoma kote huko laki 9 jamani dahhhh
Ugonjwa wa hao unowaita limbukeni bahati mbaya una ambukiza. Ukisoma michango ya vijana wao hapa jf wenyewe wanatulazimisha tuamini vyuo vyao ndio bora. Na vingine ni vya kata hahaha. Hivyo itahitaji mapinduzi ya akili kubadilisha hili.Siasa nyingi... na hii imetuweka nyuma sana kwenye mambo mengi.
Kuna "cult" flani ipo hasa kwenye chuo cha wanaojiona wao ndo "brain ya Tanzania"
Kwa hiyo mentality wamejikuta hata wahitimu wao wanakosa GPA za kuwa wakufunzi hasa baada ya kuwakomoa kwa kuwapa maksi ndogo.
Poleni sana wahanga.. ila hicho kizazi "limbukieni" kinafikia ukingoni(machweo)
WADAU MMENiELEWA
MD hawawezi kubali competition. Labda muanzishe chama chenu na kulobby hilo suala.Yes ilikuwa ianzishwe na curriculum ilikuwa tayari UDOM ndo walikuwa tayari lakini MAT (Medical Association of Tanzania) walipinga Sana hili kuwa kutatokea ugomvi baina ya MD na BCMS haiwezekani degree mbili zikakaa pamoja .Wakarefer ugomvi uliopo Kati ya AMO na MD kwa siku za nyuma.
Sorry!Kuna vitu hapa sijaelewa.
Kwa mfano.
-Huko kwenye hizo nchi ambako hiyo kozi inatolewa, wahitimu wanatambulika kama equivalent to MD?
-Kama karibu kila kitu kinafanana na MD, kwanini hapa Tz mfumo wa ajira ukutambue kama AMO?
-Ni vipi mhitimu wa hiyo kozi atambulike kwa Prefix ya Dr wakati hiyo prefix inamuhusu mhitimu wa degree ya kwanza ya Doctor of Medicine?
-Jamii inaweza kumuita mtu yoyote anayetibu mgonjwa kuwa ni Dr, lakini linapokuja suala la kiofisi rasmi inaweza isiwe hivyo. Je kwa mhitimu wa hii kozi, je rasmi mamlaka za kiserikali na muundo wake unamtambua kama Dr ?
Tunajaribu !Lakini wengi wetu waliamua kusoma Master's degree na mmoja anafanya PhD (CUHAS) -Public health .Tukisha kuwa juu na tukawa wengi ,It will work.MD hawawezi kubali competition. Labda muanzishe chama chenu na kulobby hilo suala.
MD aliesoma muhimbili analipwa shillingi ngapi. Difference Kati ya salary yako na yake ni ipiHizi ni ngazi za mishahara za watumishi wa umma (Afya) .TGHS D ~ TSH 900,000/-Basic salary .
MD aliyesoma Muhimbili maana yake nini kiongozi?Hatuna MD wa MUHAS Wala KIUT kwenye utumishi.MD aliesoma muhimbili analipwa shillingi ngapi. Difference Kati ya salary yako na yake ni ipi
Ok ni Sawa nilimaanisha medical doctorMD aliyesoma Muhimbili maana yake nini kiongozi?Hatuna MD wa MUHAS Wala KIUT kwenye utumishi.
Labda ungeuliza MD analipwa shilingi ngapi!
Mshahara wa MD ni TGHS E
Chamgamoto hata kozi haitapatiwa kibali kufundishwa nchini.. unless mpate mwenye influence kwa watunga sheriaTunajaribu !Lakini wengi wetu waliamua kusoma Master's degree na mmoja anafanya PhD (CUHAS) -Public health .Tukisha kuwa juu na tukawa wengi ,It will work.