Nilivyomuekewa alianza na laki 5, ila kwa sasa limeshakuwa na kufikia hapo lilipo kwa sasa.Mwenyewe nimemshtukia inawezekana hata hilo duka sio lake maana huo mzani tu wa kupimia sio chini ya laki 1 hzo shelf ukutani?
Takwimu yako haiko sawaHi
Hivi ni kwa nini maduka asilimia 99 mmechakachua mizani? Kwa nini huwa mnatafuta faida ya dhuluma?
Cha kwanza mpe uoga kuwa unaijua kazi yako vizuri, pia uwe na dadtari la kupokelea Mali dukani kwa mfumo waKufungua duka na kumuajiri mtu auze, hapa hua mnapigiana vp hesabu? I mean kujua faida, vitu vilivyoisha na vinavyohitajika kuongezwa dukani. ..
Unaepuka vp huyu uliyemwajiri asikupige?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu uzi umenikumbusha nilipofunga duka langu la mtaa na Madeni ninayowadai watu kama 120K hivii aiseee Biashara ya Duka ni ngumu sana hasa ukifanya uswahilini.. japo pakichangamka unapata hela shida mikopooo..!!
Hakuna uchawi Wala ndumba nazingatia hzi mbinu
*nafungua mapema nachelewa kufunga
*sikopeshi hata kitu Cha Mia kukopesha nikumfukuza mteja
*kuwa msafi na kupanga vitu vizuri kuhakikisha duka linavutia
*usipende tongoza tongoza wake za watu na wasichana wa mtaani hapo utajitengenezea sifa mbaya
*kuwa na huduma nzuri kwa kila mtu
*hakikisha unakua na bidhaa ambazo zinakutambulisha kuwa dukani kwako pekee iyo bidhaa inapatikana
* tafuta machimbo ya Bei rahisi
duka la leja leja nalijua nje ndani niliwai fanya cha kuzingatia jali zaidi chiniHabari wakuu:
Nafanya biashara ya duka la rejareja yapata miaka 6 sasa mafanikio makubwa nimeyapata kupitia hii biashara hakika sijutii kuingia katika hii biashara.
Nakaribisha wana JF kushare nikichokua nacho kupitiaa hii biashara ya duka la rejareja pia nakaribisha wadau wenye uzoefu tubadilishane mawazo kupitiaa hii biashara ya duka la rejareja maarufu duka la mangii.
Karibuu wakuu
Hapo Mauzo ya kila siku anaandika au haandiki ?Cha kwanza mpe uoga kuwa unaijua kazi yako vizuri, pia uwe na dadtari la kupokelea Mali dukani kwa mfumo wa
Aina ya bidhaa!
Kias
Bei ya kununulia
Bei ya kuuza
FAIDA
Ukitaka kujua umeibiwa au hujaibiwa
Jumlisha FAIDA zote
Toa matumizi yako yote
Toa pia akiba uliyosave
Kinachobaki kinatakiwa kionekane kama ongezeko kwenye mtaji
Hii ni RAHISI SANA
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuuMi ninaduka,ni ukweli duka la rejareja linalipa sana Tena sana Cha msingi ni location na usimamizi mzuri,mie 2018 nilianza duka Kwa 1.8mil.kwa Sasa 2023 Hali SI mbaya mauzo per week yanarange 10-15mil,
Hapa kwenye kutongoza wake za watu Mimi nitashindwa mkuu,Hakuna uchawi Wala ndumba nazingatia hzi mbinu
*nafungua mapema nachelewa kufunga
*sikopeshi hata kitu Cha Mia kukopesha nikumfukuza mteja
*kuwa msafi na kupanga vitu vizuri kuhakikisha duka linavutia
*usipende tongoza tongoza wake za watu na wasichana wa mtaani hapo utajitengenezea sifa mbaya
*kuwa na huduma nzuri kwa kila mtu
*hakikisha unakua na bidhaa ambazo zinakutambulisha kuwa dukani kwako pekee iyo bidhaa inapatikana
* tafuta machimbo ya Bei rahisi
Unauza bidhaa gani mkuu nimetamani kujuaaMi ninaduka,ni ukweli duka la rejareja linalipa sana Tena sana Cha msingi ni location na usimamizi mzuri,mie 2018 nilianza duka Kwa 1.8mil.kwa Sasa 2023 Hali SI mbaya mauzo per week yanarange 10-15mil,
Na mtaji umekua kwa kiasi gan mkuuMi ninaduka,ni ukweli duka la rejareja linalipa sana Tena sana Cha msingi ni location na usimamizi mzuri,mie 2018 nilianza duka Kwa 1.8mil.kwa Sasa 2023 Hali SI mbaya mauzo per week yanarange 10-15mil,
Trngeneza excel kama ukihitaji msaada nicheki inboxJe kama umempa mtu auze vitu ni njia gani rahis ya kumthibit awe makin asipoteze au kukopesha bidhaa bila kukumbuka?
Thanks kamarada umeuaPoleni na pilika za kutwa na hongeren pia kwa ibada
Mchango wangu ni mdogo sana Ila unaweza kukusaidia
1:kama unataka kufungua duka tafuta eneo lililochangamka lenye movement ya watu kwa nyakati zote za siku,
2: chunguza kwa makini waliokutangulia Wana udhaufu gani, Kisha usiwe na udhaufu kama wao
3 baada ya kufungua fanya haya
Fungua mapema, Sali/swali, ikabidhi kazi yako mikonon mwa mungu, uwe msafi, uwe na kauli nzuri kwa watu, panga bidhaa zako kwa mpangilio mzuri epuka mopo
Epuka mazoea mabaya na mabint, wake za watu
Kauli yako iwe ni moja shemeji, dada karibu
Jenga urafiki n watoto na wazee
Epuka anasa weka malengo
Funga kwa kuchelewa
UPATIKANAJI WA FAIDA
tafuta machimbo yenye bidhaa kwa Bei nzuri
Wastani wa FAIDA kwa kila bidhaa ni 25 %au Zaid
Nafaka, na vinginevyo
Kwa maana hiyo ukitoa FAIDA ya 15% tambua kuwa 10%umeiacha dukani kwa ajili ya kuendeleza kukuza mtaji
Pia Kuna bidhaa zenye FAIDA kubwa Zaid ya hiyo kutikana na chimbo ulilopata
JINSI YA KUTHIBITI KUIBIWA NA MFANYA KAZI
1: Ukishafungua duka piga stock na mtu atakayeuza
2:nunua dadtari 2 moja yako nyingine yake
3:chora daftar yako mistari kadhaa ainisha haya
Iterm name,
Idadi/kiasi
Bei ya kununua
Bei ya kuuza,
Faida
NB
Ukininua kila kitu hata kama ni pipi ingiza kwenye daftri yako kwa mfumo huo na yéye pia muelekeze afanye hivyo,
Ukitaka kupiga stock Rudi kwenye daftari lako mwambie yy pia alete lake
Jumlisheni faida zote kuanzia stock ya mwisho Hadi tarehe husika
Pia mkumbushe kuandika matumizi yote yanayotoka ukani mfano
Kodi
Ushuru wa taka
Malipo tra
Malipo manispaa
Nauli za kuleta vitu mjini
Na mengineyo
Ikumbukwe kwamba matumizi yanaweza kuandikwa kwenye daftri lilelile la kupokelea vitu vya mjini lakin figure zake ziandikwe kwenye mstari wa FAIDA Ila ziwekewe mabano ili mtu ajue hiyo hela imetoka na siyo faida
Kwa mfumo huo hata mfanyakazi akinywa soda lazima kwenye stock utakuta shoti ya 600/=
Mimi ndio ulinisaidia Hadi hapa nilipo!
Nina duka Zaid ya moja Ila Cha kumshukuru mungu Nina duka linaweza kuuza 500k Hadi 700k kwa siku
Mimi natumia mfumo huo na mara nyingi nakuwa hapo usiku tu kuwahudumia na kujua changamoto za wateja wangu na kujua nini Cha kuongezea dukani na ni kitu gani kipya kimeuliziwa na Sina,
Conclusion
Biashara ya duka inalipa Ila unatakiwa kuwa smart
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hatimae nimefanikiwa kusoma mwanzo mpaka hapaHuu uzi nitasoma from begining
Here we go
Mtaji umekua kiasi chake mpaka Sasa mtaji wangu ni 35 mil.kiukweli biashara hii inademand sana mtaji mkubwa,mie nilianza kuuza rejareja Kwa Sasa nauza jumla pia,najitahidi sana kuwajali wateja wangu,mf.mteja wa jumla akija nahakikisha oda yake yote naihudumia hata kama bidhaa anayohitaji mi Sina naiagiza Toka duka lingine,Kuna mambo mengi sana ya kuifanya biashara ya duka istawi Cha msingi uwe tayari kujifunza na kuwa mbunifuNa mtaji umekua kwa kiasi gan mkuu
Kwakweli mtaj umekua sana,,nina duka la namna ilo ila wanaka wadogo zangu si haya japo mauzo hayajachangamka km yako sijui tufanyajee japo ili eneo maduka ni mengi sanaaMtaji umekua kiasi chake mpaka Sasa mtaji wangu ni 35 mil.kiukweli biashara hii inademand sana mtaji mkubwa,mie nilianza kuuza rejareja Kwa Sasa nauza jumla pia,najitahidi sana kuwajali wateja wangu,mf.mteja wa jumla akija nahakikisha oda yake yote naihudumia hata kama bidhaa anayohitaji mi Sina naiagiza Toka duka lingine,Kuna mambo mengi sana ya kuifanya biashara ya duka istawi Cha msingi uwe tayari kujifunza na kuwa mbunifu