Niulize chochote kuhusu biashara ya duka la rejareja

Mwenyewe nimemshtukia inawezekana hata hilo duka sio lake maana huo mzani tu wa kupimia sio chini ya laki 1 hzo shelf ukutani?
Nilivyomuekewa alianza na laki 5, ila kwa sasa limeshakuwa na kufikia hapo lilipo kwa sasa.
Kama kila kitu kipo, kama kodi, shelfs,meza, fridge, vibali nk, hiyo lak 5 unaweza ukaanza nayo taratibu. Ila utegemee kuongezea mtaji kutoka kwenye vyanzo vingine.
Kama unategemea kukopa inakuwa vizuri ukaanza kwanza biashara
ukishajua mahitaji ya mtaani kwako ndo ukakope ili kuboost biashara yako kwa kununua vitu vinavyotoka kwa haraka ili uweze kupata faida ya chap.
 
Kufungua duka na kumuajiri mtu auze, hapa hua mnapigiana vp hesabu? I mean kujua faida, vitu vilivyoisha na vinavyohitajika kuongezwa dukani. ..

Unaepuka vp huyu uliyemwajiri asikupige?
Cha kwanza mpe uoga kuwa unaijua kazi yako vizuri, pia uwe na dadtari la kupokelea Mali dukani kwa mfumo wa
Aina ya bidhaa!
Kias
Bei ya kununulia
Bei ya kuuza
FAIDA

Ukitaka kujua umeibiwa au hujaibiwa
Jumlisha FAIDA zote
Toa matumizi yako yote
Toa pia akiba uliyosave
Kinachobaki kinatakiwa kionekane kama ongezeko kwenye mtaji

Hii ni RAHISI SANA

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Poleni na pilika za kutwa na hongeren pia kwa ibada

Mchango wangu ni mdogo sana Ila unaweza kukusaidia

1:kama unataka kufungua duka tafuta eneo lililochangamka lenye movement ya watu kwa nyakati zote za siku,
2: chunguza kwa makini waliokutangulia Wana udhaufu gani, Kisha usiwe na udhaufu kama wao
3 baada ya kufungua fanya haya
Fungua mapema, Sali/swali, ikabidhi kazi yako mikonon mwa mungu, uwe msafi, uwe na kauli nzuri kwa watu, panga bidhaa zako kwa mpangilio mzuri epuka mopo
Epuka mazoea mabaya na mabint, wake za watu
Kauli yako iwe ni moja shemeji, dada karibu
Jenga urafiki n watoto na wazee
Epuka anasa weka malengo
Funga kwa kuchelewa

UPATIKANAJI WA FAIDA
tafuta machimbo yenye bidhaa kwa Bei nzuri
Wastani wa FAIDA kwa kila bidhaa ni 25 %au Zaid
Nafaka, na vinginevyo
Kwa maana hiyo ukitoa FAIDA ya 15% tambua kuwa 10%umeiacha dukani kwa ajili ya kuendeleza kukuza mtaji

Pia Kuna bidhaa zenye FAIDA kubwa Zaid ya hiyo kutikana na chimbo ulilopata

JINSI YA KUTHIBITI KUIBIWA NA MFANYA KAZI

1: Ukishafungua duka piga stock na mtu atakayeuza
2:nunua dadtari 2 moja yako nyingine yake
3:chora daftar yako mistari kadhaa ainisha haya
Iterm name,
Idadi/kiasi
Bei ya kununua
Bei ya kuuza,
Faida
NB
Ukininua kila kitu hata kama ni pipi ingiza kwenye daftri yako kwa mfumo huo na yéye pia muelekeze afanye hivyo,

Ukitaka kupiga stock Rudi kwenye daftari lako mwambie yy pia alete lake
Jumlisheni faida zote kuanzia stock ya mwisho Hadi tarehe husika
Pia mkumbushe kuandika matumizi yote yanayotoka ukani mfano
Kodi
Ushuru wa taka
Malipo tra
Malipo manispaa
Nauli za kuleta vitu mjini
Na mengineyo
Ikumbukwe kwamba matumizi yanaweza kuandikwa kwenye daftri lilelile la kupokelea vitu vya mjini lakin figure zake ziandikwe kwenye mstari wa FAIDA Ila ziwekewe mabano ili mtu ajue hiyo hela imetoka na siyo faida

Kwa mfumo huo hata mfanyakazi akinywa soda lazima kwenye stock utakuta shoti ya 600/=

Mimi ndio ulinisaidia Hadi hapa nilipo!
Nina duka Zaid ya moja Ila Cha kumshukuru mungu Nina duka linaweza kuuza 500k Hadi 700k kwa siku
Mimi natumia mfumo huo na mara nyingi nakuwa hapo usiku tu kuwahudumia na kujua changamoto za wateja wangu na kujua nini Cha kuongezea dukani na ni kitu gani kipya kimeuliziwa na Sina,

Conclusion
Biashara ya duka inalipa Ila unatakiwa kuwa smart

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu uzi umenikumbusha nilipofunga duka langu la mtaa na Madeni ninayowadai watu kama 120K hivii aiseee Biashara ya Duka ni ngumu sana hasa ukifanya uswahilini.. japo pakichangamka unapata hela shida mikopooo..!!

Hili la mikopo unalikwepa vipi?
 
Hakuna uchawi Wala ndumba nazingatia hzi mbinu
*nafungua mapema nachelewa kufunga
*sikopeshi hata kitu Cha Mia kukopesha nikumfukuza mteja
*kuwa msafi na kupanga vitu vizuri kuhakikisha duka linavutia
*usipende tongoza tongoza wake za watu na wasichana wa mtaani hapo utajitengenezea sifa mbaya
*kuwa na huduma nzuri kwa kila mtu
*hakikisha unakua na bidhaa ambazo zinakutambulisha kuwa dukani kwako pekee iyo bidhaa inapatikana
* tafuta machimbo ya Bei rahisi
 
Habari wakuu:

Nafanya biashara ya duka la rejareja yapata miaka 6 sasa mafanikio makubwa nimeyapata kupitia hii biashara hakika sijutii kuingia katika hii biashara.

Nakaribisha wana JF kushare nikichokua nacho kupitiaa hii biashara ya duka la rejareja pia nakaribisha wadau wenye uzoefu tubadilishane mawazo kupitiaa hii biashara ya duka la rejareja maarufu duka la mangii.

Karibuu wakuu

duka la leja leja nalijua nje ndani niliwai fanya cha kuzingatia jali zaidi chini

chini ndio nini ni bizaa za kuweka chini mfano mchele sukali mafuta ya kula dagaa karanga mahidi urezi soya popukoni vinamba

pia nje weka kimeza cha kuuza nyanya nazi viazi mvilingo kitunguu ndizi nk
kwenye sherufu weka miswaki nk hayo kama mapambo ya duka

ila udiwa punje wateja wako zuli hiyo biahara inatunza mtaji aufi labda uhonge mwenyewe kwa uinga wako

pia ukubali kuwa mfungwa kufunga saa 5 usiku kufungua saa 12 asubuhi zingatia wauzaji wasizidi 2 tu zaidi hapo shoti
 
Cha kwanza mpe uoga kuwa unaijua kazi yako vizuri, pia uwe na dadtari la kupokelea Mali dukani kwa mfumo wa
Aina ya bidhaa!
Kias
Bei ya kununulia
Bei ya kuuza
FAIDA

Ukitaka kujua umeibiwa au hujaibiwa
Jumlisha FAIDA zote
Toa matumizi yako yote
Toa pia akiba uliyosave
Kinachobaki kinatakiwa kionekane kama ongezeko kwenye mtaji

Hii ni RAHISI SANA

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hapo Mauzo ya kila siku anaandika au haandiki ?
 
Mi ninaduka,ni ukweli duka la rejareja linalipa sana Tena sana Cha msingi ni location na usimamizi mzuri,mie 2018 nilianza duka Kwa 1.8mil.kwa Sasa 2023 Hali SI mbaya mauzo per week yanarange 10-15mil,
Hongera sana mkuu
 
Hakuna uchawi Wala ndumba nazingatia hzi mbinu
*nafungua mapema nachelewa kufunga
*sikopeshi hata kitu Cha Mia kukopesha nikumfukuza mteja
*kuwa msafi na kupanga vitu vizuri kuhakikisha duka linavutia
*usipende tongoza tongoza wake za watu na wasichana wa mtaani hapo utajitengenezea sifa mbaya
*kuwa na huduma nzuri kwa kila mtu
*hakikisha unakua na bidhaa ambazo zinakutambulisha kuwa dukani kwako pekee iyo bidhaa inapatikana
* tafuta machimbo ya Bei rahisi
Hapa kwenye kutongoza wake za watu Mimi nitashindwa mkuu,

Hii biashara sitoweza.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Mi ninaduka,ni ukweli duka la rejareja linalipa sana Tena sana Cha msingi ni location na usimamizi mzuri,mie 2018 nilianza duka Kwa 1.8mil.kwa Sasa 2023 Hali SI mbaya mauzo per week yanarange 10-15mil,
Unauza bidhaa gani mkuu nimetamani kujuaa
 
Mi ninaduka,ni ukweli duka la rejareja linalipa sana Tena sana Cha msingi ni location na usimamizi mzuri,mie 2018 nilianza duka Kwa 1.8mil.kwa Sasa 2023 Hali SI mbaya mauzo per week yanarange 10-15mil,
Na mtaji umekua kwa kiasi gan mkuu
 
Poleni na pilika za kutwa na hongeren pia kwa ibada

Mchango wangu ni mdogo sana Ila unaweza kukusaidia

1:kama unataka kufungua duka tafuta eneo lililochangamka lenye movement ya watu kwa nyakati zote za siku,
2: chunguza kwa makini waliokutangulia Wana udhaufu gani, Kisha usiwe na udhaufu kama wao
3 baada ya kufungua fanya haya
Fungua mapema, Sali/swali, ikabidhi kazi yako mikonon mwa mungu, uwe msafi, uwe na kauli nzuri kwa watu, panga bidhaa zako kwa mpangilio mzuri epuka mopo
Epuka mazoea mabaya na mabint, wake za watu
Kauli yako iwe ni moja shemeji, dada karibu
Jenga urafiki n watoto na wazee
Epuka anasa weka malengo
Funga kwa kuchelewa

UPATIKANAJI WA FAIDA
tafuta machimbo yenye bidhaa kwa Bei nzuri
Wastani wa FAIDA kwa kila bidhaa ni 25 %au Zaid
Nafaka, na vinginevyo
Kwa maana hiyo ukitoa FAIDA ya 15% tambua kuwa 10%umeiacha dukani kwa ajili ya kuendeleza kukuza mtaji

Pia Kuna bidhaa zenye FAIDA kubwa Zaid ya hiyo kutikana na chimbo ulilopata

JINSI YA KUTHIBITI KUIBIWA NA MFANYA KAZI

1: Ukishafungua duka piga stock na mtu atakayeuza
2:nunua dadtari 2 moja yako nyingine yake
3:chora daftar yako mistari kadhaa ainisha haya
Iterm name,
Idadi/kiasi
Bei ya kununua
Bei ya kuuza,
Faida
NB
Ukininua kila kitu hata kama ni pipi ingiza kwenye daftri yako kwa mfumo huo na yéye pia muelekeze afanye hivyo,

Ukitaka kupiga stock Rudi kwenye daftari lako mwambie yy pia alete lake
Jumlisheni faida zote kuanzia stock ya mwisho Hadi tarehe husika
Pia mkumbushe kuandika matumizi yote yanayotoka ukani mfano
Kodi
Ushuru wa taka
Malipo tra
Malipo manispaa
Nauli za kuleta vitu mjini
Na mengineyo
Ikumbukwe kwamba matumizi yanaweza kuandikwa kwenye daftri lilelile la kupokelea vitu vya mjini lakin figure zake ziandikwe kwenye mstari wa FAIDA Ila ziwekewe mabano ili mtu ajue hiyo hela imetoka na siyo faida

Kwa mfumo huo hata mfanyakazi akinywa soda lazima kwenye stock utakuta shoti ya 600/=

Mimi ndio ulinisaidia Hadi hapa nilipo!
Nina duka Zaid ya moja Ila Cha kumshukuru mungu Nina duka linaweza kuuza 500k Hadi 700k kwa siku
Mimi natumia mfumo huo na mara nyingi nakuwa hapo usiku tu kuwahudumia na kujua changamoto za wateja wangu na kujua nini Cha kuongezea dukani na ni kitu gani kipya kimeuliziwa na Sina,

Conclusion
Biashara ya duka inalipa Ila unatakiwa kuwa smart

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Thanks kamarada umeua
Ila nina ndoige ya kukomesha wizi kama ulivyoshauri hapo juu
Nina excel ina hivyo vitu ulivyotaja
Mfanyajazi ikiiba lazima ndoige imfuate alip [emoji28]
 
Na mtaji umekua kwa kiasi gan mkuu
Mtaji umekua kiasi chake mpaka Sasa mtaji wangu ni 35 mil.kiukweli biashara hii inademand sana mtaji mkubwa,mie nilianza kuuza rejareja Kwa Sasa nauza jumla pia,najitahidi sana kuwajali wateja wangu,mf.mteja wa jumla akija nahakikisha oda yake yote naihudumia hata kama bidhaa anayohitaji mi Sina naiagiza Toka duka lingine,Kuna mambo mengi sana ya kuifanya biashara ya duka istawi Cha msingi uwe tayari kujifunza na kuwa mbunifu
 
Kwakweli mtaj umekua sana,,nina duka la namna ilo ila wanaka wadogo zangu si haya japo mauzo hayajachangamka km yako sijui tufanyajee japo ili eneo maduka ni mengi sanaa
 
Back
Top Bottom