Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Naomba kujua tofauti kati ya injini ya ALPHARD HYBRID na ALPHARD
 
Gari mpya kabisa. Hata km 80,000 haijafika.
Wabongo tunapenda sana cheap product with low quality so wengi wao siwashangai sana wanavyokazanania kuweka oil hizo kibaya zaidi wanawaamini mafundi kuliko specialist na manufacture wa gari husika
 
@Kichuguu Mimi sina uzoefu sana wa magari, Natumia Toyota Wish. Engine Oil nayoweka kila nikifanya service ni GP (General Petroleum) SAE40.

Sasa cjui hii oil ni sawa na hiyo 5w-40? ambayo wadau inasemekana kuwa siyo nzuri sana hasa kwa gari hizi ndogo. Ila since nimeinunua hii gari huu ni mwaka wa pili sasa haijawahi kunizingua chochote, nafanya service kwa mda hardware nlibadilisha mara 1 tuu ni balljoint na ma bush basi sijawahi kuijutia hii gari.

So swali hii GP SAE40 ni sawa kutumika kwa gari hii?
 
Samahan.mkuu gari yangu aina ya runx inamis. Nmepeleka kwa fund kaniambia plug ziko poa pamoja na sehemu nyingine anasema ziko poa ila tatizo gari inamis ndugu zangu ntatatuaje hili tatizo
 
@Kichuguu Mimi sina uzoefu sana wa magari, Natumia Toyota Wish. Engine Oil nayoweka kila nikifanya service ni GP (General Petroleum) SAE40.

Sasa cjui hii oil ni sawa na hiyo 5w-40? ambayo wadau inasemekana kuwa siyo nzuri sana hasa kwa gari hizi ndogo. Ila since nimeinunua hii gari huu ni mwaka wa pili sasa haijawahi kunizingua chochote, nafanya service kwa mda hardware nlibadilisha mara 1 tuu ni balljoint na ma bush basi sijawahi kuijutia hii gari.

So swali hii GP SAE40 ni sawa kutumika kwa gari hii?
Jibu ni kwamba sae 40 sio sahihi haijalishi unatumia kampuni gani ya oil. Oil sahihi kwa Toyota wish ni 5w30 basi kampuni yoyote ile
 
Engine ya toyota probox kuvuma sana, shida ni nini?
 
Engine ya toyota probox kuvuma sana, shida ni nini?
Hakuna jibo la jumla kwa vile inategema inavuma kivipi; mpaka mtu aikague kikamilifu kwani inawezekana bearing mojawapo kati ya water pump. idler, AC au power power steering imekufa. Lakini vile vile inawezekana unatumia oil nzito hizo za SAE40 na SAE50.
 
Shukrani mkuu nitapeleka ukaguzi
 
Viongozi habari, nina prado 95, ina tatizo la kuyumba sana barabarani nikiwa spidi kuanzia 70 tu, nimebadilisha vitu vyote vya mbele kama boljoint, tyrod nk, nimepima wheel balancing /alignment, lakini bado, je tatizo linaweza kuwa nini?
Hii post nimeirudia tena leo kutokana na yaliyotokea jana kule kwenye karakarana yetu mtaani. Kuna gari lilikuwa linayumba sana; tukakagua kila kila kitu stabilizer bars, steering dampler, na kila unachoweza kufikiria vtyote viko sawa.

Unajua sisi hatubadili kitu mpaka tumejiridhisa kuwa kinahitajiwa kubadili kweli. Mwishowe, tukakuta kuwa power steering pump ilikuwa ndiyo haisukumu mafuta ya kutosha kwa sababu mkanda wa kuiendesha ulishakuwa mkuukuu.

Ilikuwa ni aibu kuwa tuli-overlook swala la mkanda kwa vile tunaamini mikanda yote ya gari hubadilishwa kwa wakati halisi, lakini mteja huyo hakuwa amebadilisha mkanda kwa muda mrefu sana. Kwa hiyo angalia kama mkanda wako umetumika sana unaweza kuwa ndiyo tatizo.
 
Habari mkuu Kichuguu;
Niliuliza swali kuhusu gari yangu kuonesha speed kubwa katika odometer Huku gari ikiwa speed ndogo, pia gear hazibadiliki muda mwingine hadi RPM inafika 4 gari inavuma tu bila kubadili gear wala speed haiongezeki hasa katika miinuko.

Pia size ya tyres ni ile ile sikuzibadili mkuu.
Nipe ushauri shida hasa yaweza kuwa nini?
 
Hilo linaweza kuwa ni tatizo kubwa sana, yaani gearbox imekufa. Sina ujuzi wa kutosha kuhusu gearbox ila suluhisho la kwanza kabisa ni kuangalia mafuta ya transmission kama yamo ya kutosha. Kama gari lishatumika muda mrefu bila kubadili mafuta ya transmission, jaribu kuongezea hadi yafikia kiwango kinachotakiwa.

Ingekuwa vizuri sana kama ungemwaga mauta ya zamani na kuweka mapya pamoja na filter, ila kwa upande wa pili hiyo inaweza kufanya transmission isifanye kazi kabisa kama bearing zilishasagika sana, na sasa zinafanya kazi kutokana na vumbi la vyuma vilivyosagika ndani ya mafuta, ambavyo ukiviondoa basi bearing zote zitalegea kabisa na kushindwa kufanya kazi. Nenda kwa mafundi wa transmission
 
Hilo linaweza kuwa ni tatizo kubwa sana, yaani gearbox imekufa. Sina ujuzi wa kutosha kuhusu gearbox ila suluhisho la kwanza kabisa ni kuangalia mafuta ya transmission kama yamo ya kutosha. Kama gari lishatumika muda mrefu bila kubadili mafuta ya transmission, jaribu kuongezea hadi yafikia kiwango kinachotakiwa. Ingekuwa vizuri sana kama ungemwaga mauta ya zamani na kuweka mapya pamoja na filter, ila kwa upande wa pili hiyo inaweza kufanya transmission isifanye kazi kabisa kama bearing zilishasagika sana, na sasa zinafanya kazi kutokana na vumbi la vyuma vilivyosagika ndani ya mafuta, ambavyo ukiviondoa basi bearing zote zitalegea kabisa na kushindwa kufanya kazi. Nenda kwa mafundi wa transmission
Nashukuru mkubwa!
Naona hawa mafundi niliowatumia watakuwa wamebadili gearbox yangu maana ilikuwa njema kabisa navyo ipeleka , nilikuwa na shida ya taa ya ABS tu sasa mambo yamekuwa mengi najuta Aisee sijui nifanye nini maana gari imebaki bodi tuu ndio nzuri ila gari haina nguvu kama ilivyokuwa.

Dah nimeichukia hii gari imevurugika nahisi nimebadilishiwa vitu na mafundi wa hovyo hawa. Naumia sana maana gari RAV4 Kilitime inamuonekano wa upya kabisa na haina hata mwaka nilinunua kwa jamaa ikiwa na performance nzuri ajubu.
 
Samahan.mkuu gari yangu aina ya runx inamis. Nmepeleka kwa fund kaniambia plug ziko poa pamoja na sehemu nyingine anasema ziko poa ila tatizo gari inamis ndugu zangu ntatatuaje hili tatizo mshale wa rmp uko juu ya moja na nnaambiwa ina bid ushuke chini ya moja tatizo linaweza kuwa wap ndugu zangu?
 
Habari jamani!
Hivi gearbox ya Rav4 kilitime Engine 1ZZ ni bei gani?

Msaada Wakubwa!
 
Nashukuru mkubwa!
Naona hawa mafundi niliowatumia watakuwa wamebadili gearbox yangu maana ilikuwa njema kabisa navyo ipeleka , nilikuwa na shida ya taa ya ABS tu sasa mambo yamekuwa mengi najuta Aisee sijui nifanye nini maana gari imebaki bodi tuu ndio nzuri ila gari haina nguvu kama ilivyokuwa.

Dah nimeichukia hii gari imevurugika nahisi nimebadilishiwa vitu na mafundi wa hovyo hawa. Naumia sana maana gari RAV4 Kilitime inamuonekano wa upya kabisa na haina hata mwaka nilinunua kwa jamaa ikiwa na performance nzuri ajubu.
Hukuwahi kujiuliza ni kwanini Rav 4 kill time zinauzwa bei rahisi sana huku mtaani kuliko Rav 4-mchagaa(zenye engine ya 3s)?
 
Habari mkuu Kichuguu;
Niliuliza swali kuhusu gari yangu kuonesha speed kubwa katika odometer Huku gari ikiwa speed ndogo, pia gear hazibadiliki muda mwingine hadi RPM inafika 4 gari inavuma tu bila kubadili gear wala speed haiongezeki hasa katika miinuko.

Pia size ya tyres ni ile ile sikuzibadili mkuu.
Nipe ushauri shida hasa yaweza kuwa nini?
Hello.
Mm sio fundi ila pia
Nimepitia tatizo kama lako na gari imepona.
Rav 4 kill time 2003 Awd.
Ilianza ku beheve hivyo kwenye muinuko gari haiendi speed na sauti unatoka kama ina mzigo mkubwa.
Highway gari ikifika 80km/h to 90km/h
Rpm inakuwa 4 maana yake gari haibadili gear.inakwama kwenye gear no 3.
Kumbuka kill time auto ni 4 gear drive.

Fundi wa kwanza
Alinambia gear box imekufa
Nikanunua nikafunga ila shida ikawa kubwa zaidi.adi nikatoa maelekezo ya kurudisha gear box ile ya kwanza.mwenye duka alikubali kupogea gear box yake na kurudisha pesa.

Fundi wa pili.
Hiyu nimemtafuta baada ya kufuatilia sana kwenye mitandao na rav 4 kill time forums
Nikagundua hizi gari zina shida sana ya mfumo wa ecu(control box) na hutakiwa kubadilishwa
Zile original zilikuwa na faults dunia nzima.
So nikatafuta fundi wa umeme mwenye mashine ya kupima(computer).
Kupima gari akagungua knok sensor ndo imekufa.
Kweli kafungua ikakutwa imekatika wire.
Inauzwa tsh 35000.
Kabadili sensor hiyo
Na kuformat ecu(contro box) ya kwenye gar
From that day sijawahi pata shida tena ya hii gari.
Gear zote zinaisha
Mafuta inakula vizuri
Na speed imekaa poa
Thanks
 
Nashukuru sana mkuu!
Nitajaribu kufanya hivyo then nitaleta mrejesho kwenu.

Nashukuru sana.
 
Back
Top Bottom