Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo tunapenda sana cheap product with low quality so wengi wao siwashangai sana wanavyokazanania kuweka oil hizo kibaya zaidi wanawaamini mafundi kuliko specialist na manufacture wa gari husikaGari mpya kabisa. Hata km 80,000 haijafika.
Jibu ni kwamba sae 40 sio sahihi haijalishi unatumia kampuni gani ya oil. Oil sahihi kwa Toyota wish ni 5w30 basi kampuni yoyote ile@Kichuguu Mimi sina uzoefu sana wa magari, Natumia Toyota Wish. Engine Oil nayoweka kila nikifanya service ni GP (General Petroleum) SAE40.
Sasa cjui hii oil ni sawa na hiyo 5w-40? ambayo wadau inasemekana kuwa siyo nzuri sana hasa kwa gari hizi ndogo. Ila since nimeinunua hii gari huu ni mwaka wa pili sasa haijawahi kunizingua chochote, nafanya service kwa mda hardware nlibadilisha mara 1 tuu ni balljoint na ma bush basi sijawahi kuijutia hii gari.
So swali hii GP SAE40 ni sawa kutumika kwa gari hii?
Hakuna jibo la jumla kwa vile inategema inavuma kivipi; mpaka mtu aikague kikamilifu kwani inawezekana bearing mojawapo kati ya water pump. idler, AC au power power steering imekufa. Lakini vile vile inawezekana unatumia oil nzito hizo za SAE40 na SAE50.Engine ya toyota probox kuvuma sana, shida ni nini?
Shukrani mkuu nitapeleka ukaguziHakuna jibo la jumla kwa vile inategema inavuma kivipi; mpaka mtu aikague kikamilifu kwani inawezekana bearing mojawapo kati ya water pump. idler, AC au power power steering imekufa. Lakini vile vile inawezekana unatumia oil nzito hizo za SAE40 na SAE50.
Hii post nimeirudia tena leo kutokana na yaliyotokea jana kule kwenye karakarana yetu mtaani. Kuna gari lilikuwa linayumba sana; tukakagua kila kila kitu stabilizer bars, steering dampler, na kila unachoweza kufikiria vtyote viko sawa.Viongozi habari, nina prado 95, ina tatizo la kuyumba sana barabarani nikiwa spidi kuanzia 70 tu, nimebadilisha vitu vyote vya mbele kama boljoint, tyrod nk, nimepima wheel balancing /alignment, lakini bado, je tatizo linaweza kuwa nini?
Hilo linaweza kuwa ni tatizo kubwa sana, yaani gearbox imekufa. Sina ujuzi wa kutosha kuhusu gearbox ila suluhisho la kwanza kabisa ni kuangalia mafuta ya transmission kama yamo ya kutosha. Kama gari lishatumika muda mrefu bila kubadili mafuta ya transmission, jaribu kuongezea hadi yafikia kiwango kinachotakiwa.Habari mkuu Kichuguu;
Niliuliza swali kuhusu gari yangu kuonesha speed kubwa katika odometer Huku gari ikiwa speed ndogo, pia gear hazibadiliki muda mwingine hadi RPM inafika 4 gari inavuma tu bila kubadili gear wala speed haiongezeki hasa katika miinuko.
Pia size ya tyres ni ile ile sikuzibadili mkuu.
Nipe ushauri shida hasa yaweza kuwa nini?
Nashukuru mkubwa!Hilo linaweza kuwa ni tatizo kubwa sana, yaani gearbox imekufa. Sina ujuzi wa kutosha kuhusu gearbox ila suluhisho la kwanza kabisa ni kuangalia mafuta ya transmission kama yamo ya kutosha. Kama gari lishatumika muda mrefu bila kubadili mafuta ya transmission, jaribu kuongezea hadi yafikia kiwango kinachotakiwa. Ingekuwa vizuri sana kama ungemwaga mauta ya zamani na kuweka mapya pamoja na filter, ila kwa upande wa pili hiyo inaweza kufanya transmission isifanye kazi kabisa kama bearing zilishasagika sana, na sasa zinafanya kazi kutokana na vumbi la vyuma vilivyosagika ndani ya mafuta, ambavyo ukiviondoa basi bearing zote zitalegea kabisa na kushindwa kufanya kazi. Nenda kwa mafundi wa transmission
Hukuwahi kujiuliza ni kwanini Rav 4 kill time zinauzwa bei rahisi sana huku mtaani kuliko Rav 4-mchagaa(zenye engine ya 3s)?Nashukuru mkubwa!
Naona hawa mafundi niliowatumia watakuwa wamebadili gearbox yangu maana ilikuwa njema kabisa navyo ipeleka , nilikuwa na shida ya taa ya ABS tu sasa mambo yamekuwa mengi najuta Aisee sijui nifanye nini maana gari imebaki bodi tuu ndio nzuri ila gari haina nguvu kama ilivyokuwa.
Dah nimeichukia hii gari imevurugika nahisi nimebadilishiwa vitu na mafundi wa hovyo hawa. Naumia sana maana gari RAV4 Kilitime inamuonekano wa upya kabisa na haina hata mwaka nilinunua kwa jamaa ikiwa na performance nzuri ajubu.
Hapana mkuu, hebu nambieHukuwahi kujiuliza ni kwanini Rav 4 kill time zinauzwa bei rahisi sana huku mtaani kuliko Rav 4-mchagaa(zenye engine ya 3s)?
Hello.Habari mkuu Kichuguu;
Niliuliza swali kuhusu gari yangu kuonesha speed kubwa katika odometer Huku gari ikiwa speed ndogo, pia gear hazibadiliki muda mwingine hadi RPM inafika 4 gari inavuma tu bila kubadili gear wala speed haiongezeki hasa katika miinuko.
Pia size ya tyres ni ile ile sikuzibadili mkuu.
Nipe ushauri shida hasa yaweza kuwa nini?
Nashukuru sana mkuu!Hello.
Mm sio fundi ila pia
Nimepitia tatizo kama lako na gari imepona.
Rav 4 kill time 2003 Awd.
Ilianza ku beheve hivyo kwenye muinuko gari haiendi speed na sauti unatoka kama ina mzigo mkubwa.
Highway gari ikifika 80km/h to 90km/h
Rpm inakuwa 4 maana yake gari haibadili gear.inakwama kwenye gear no 3.
Kumbuka kill time auto ni 4 gear drive.
Fundi wa kwanza
Alinambia gear box imekufa
Nikanunua nikafunga ila shida ikawa kubwa zaidi.adi nikatoa maelekezo ya kurudisha gear box ile ya kwanza.mwenye duka alikubali kupogea gear box yake na kurudisha pesa.
Fundi wa pili.
Hiyu nimemtafuta baada ya kufuatilia sana kwenye mitandao na rav 4 kill time forums
Nikagundua hizi gari zina shida sana ya mfumo wa ecu(control box) na hutakiwa kubadilishwa
Zile original zilikuwa na faults dunia nzima.
So nikatafuta fundi wa umeme mwenye mashine ya kupima(computer).
Kupima gari akagungua knok sensor ndo imekufa.
Kweli kafungua ikakutwa imekatika wire.
Inauzwa tsh 35000.
Kabadili sensor hiyo
Na kuformat ecu(contro box) ya kwenye gar
From that day sijawahi pata shida tena ya hii gari.
Gear zote zinaisha
Mafuta inakula vizuri
Na speed imekaa poa
Thanks