Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

Tatizo ni nini gari yangu kujiresi na kua kama nimeshika breki na huku nimekanyaga acelator nikiwa katika mwendo wakati naongeza au kuachia accelator?
 
Habari Kichuguu

Msaada wako ni Muihimu sana

Nina gari Nissan, Check Engine Light Iliwaka, Nikapima ikaleta code P0420 ambayo ni Catalyitc Conveter at Bank 1, Fundi akanambia Oxygen sensor ya bank 1 imekufa nikasema fine(aliipima), nikaenda kwa mafundi wa 3 zaidi wakanambia hicho hicho baada ya kupima Oxgen sensor (zipo 2) walisema ile ile moja imekufa.

Nikanunua Hiyo sensor, Nikafunga, baaada ya kufunga Imekuja code P0171 inasema System too lean at Bank 1, sasa kinachotokea hapa gari inakula mafuta sana

Mfano; DSM to Dodoma nilikua natumia lita 35 kwenye Tank la 60litres sasa hivi natumia FULL TANK

Naomba ushauri wako
 
Gari ni ya mwaka gani na ina km ngapi ?
 
.....UPDATES......

Tatizo limeisha
Nilinunua sensor sio yenyewe, ile og ya gari current ilikua inasoma 0.004, ila mpya ilikua inasoma 0.006

Hata ile ya gari haikua mbovu

Yaan ilikua imeziba, alichofanya fundi alii-spray na dawa flani hivi ya kusafisha akasafisha vzr

Kurudisha taa ikazimaa, nikatembea nayo , kisha nikapima fault tena kama ipo haikuepo

Pia nimesafiri dsm to Dom kwa Nusu tank lita 30

Asanten
 
Gasoline injini inakubali kuwekewa sleeve?
Ndiyo; engine yoyote inaweza kuwekewa sleeve. Lakini matumizi ya sleeve hutokea kwa sababu ya matunzo mabaya ya injini kukosa service na kusababisha cylinders zisagike. Injini ikitunzwa vizuri, utaindesha gari yako hata miaka 30 bila kuhitaji sleeve na powere ya injini ikiwa ile ile iliyotoka nayo kiwandani.
 
Ahsante kwa kuja hapa. kipi ni bora 'technically' kati ya kuvalisha sleeve au kuchonga bloku?
 
Injini ya gari Nissan Vannette NV200 ya mwaka 2005 inasumbua.
Natamani kununua nusu injini.
Inapatikana kwa kiwango/bei gani?
 
Ilitafuna piece bearing ya crankshaft.
Hili jibu wakikupa litanisaidia pia. Nina injini ya 1rz ina ugonjwa kama wako kujumlisha kuua oil pump. Imajini kwa mwaka gari inafungiwa oil pump hata tatu aisee
 
Ilitafuna piece bearing ya crankshaft.
Hiyo injini inatakiwa overhaul kwa vile uliiendesha kwa muda mrefu bila kuweka oil au kwa kutumia oil isiyo sahihi. Sasa uamuzi wa ama kununua injini nyingine au kuoverhaul ni juu yako baada ya kulinganisha gharama. Kama uta-overhaul itakubidi ukague hiyo chrankshaft kwa vile inaweza ikahitaji kusagwa kidogo; na kama connecting rods hazikuvujika na pistons hazikudhurika, basi usifanye makosa ya kuzibadilisha, bali unaweza kubadilisha piston rings. Kama utanunua injinie nyingine (mswaki) jitahidi injini hiyo ipimwe kwenye dyno kabla ya kuiweka ndani ya gari; unaweza kukuta injini unayonunua ina matatizo hayo hayo unayokimbia.
 
Hiyo injini inatakiwa overhaul kwa vile uliiendesha kwa muda mrefu bila kueweka oil au kwa kutumia oil isiyo sahihi. Sasa uamuzi wa ama kununua injini nyingine au kuoverhaul ni juu yako baada ya kulinganisha gharama. Kama uta-ovarhaul itakubidi ukagua hiyo chrankshafdyt kwa vile inaweza ikahitaji kusagwa kidogo, kama connecting rods hazikuvujika na pistons hazikudhurika, basi usifanya makosa ya kuzibadilisha, bali unaweza kubadilisha piston rings. Kama utanunua jitahidi injini hiyo ipimwe kwenye dyno kabla ya kuiweka ndani ya gari
Nakushukuru sana.
 
.....UPDATES......

Tatizo limeisha
Nilinunua sensor sio yenyewe, ile og ya gari current ilikua inasoma 0.004, ila mpya ilikua inasoma 0.006

Hata ile ya gari haikua mbovu

Yaan ilikua imeziba, alichofanya fundi alii-spray na dawa flani hivi ya kusafisha akasafisha vzr

Kurudisha taa ikazimaa, nikatembea nayo , kisha nikapima fault tena kama ipo haikuepo

Pia nimesafiri dsm to Dom kwa Nusu tank lita 30

Asanten

Gari yako ina CC ngapi mkuu? Consumption hapo naona si mbaya sana lita 1 kwa 15km
 
Ipi ni engine oil sahihi inayofaa kwa ajili ya gari Nissan Vannette NV200 ya mwaka 2005?
 
Kaka hbr naomba msaada nina mazda rx 7 , ina km 140,000 ghafla tu gari imeqnza kukosa nguvu kbs , engine yake ni ROTATARY , mafuta pia consuption imebadilika na inachelewa sana kuchanganya tatizo hapa linaweza kuwa nini wengine wananishauri kuwa engine hiyo mda wake umeisha hivyo nibadili niweke 2Jz ya Toyota unanishauri vipi maana overhaul ya engine hii ni mtihani sana
 
Kagua fuel pump, nadhani ndiyo imesihiwa nguvu, haisukumi mafuta ya kutosha!
 
Usishangae kuhusu utambulisho huu. Mimi sasa ni ASE Certified Service Consultant wa magari madogo yanayotumia petroli hasa ya Ford, GM, na Chrysler.

Nimepata license yangu hivi majuzi tu mwaka huu baada ya kuitafuta kwa muda kidogo through part-time activities kwani hiyo siyo kazi yangu kuu.

Certification hiyo inahitaji siyo tu kufaulu mtihani wake, lakini pia uwe na uzoefu wa kutosha kwenye auto-repair shop.

Nimekamilisha experience hiyo inayotakiwa mwaka huu na kupata license yangu.

Kwa vile injini nyingi za petroli zinafanana katika utendaji, jisikie free kuniuliza swali lolote kuhusu matatizo ya injini ya gari yako model yoyote inayotumia mafuta ya petroli.

Siahidi kuwa majibu yangu yote yatakuwa ni sahihi, lakini sehemu kubwa itakuwa ni sahihi, na hata yale ambayo hayatakuwa sahihi yanaweza kukusadia kujua wapi pa kuanzia.
Habari wadau

Nina Rav 4 kilitime yangu 1zz engine nimenotice manually kwa kuangalia kwenye oil dipstick kuwa oil inapungua plus, ukipiga race(acceleration) moshi mweupe unatoka kwenye tailpipe.

Hapa nafikiria kufanya overhaul japo sasa kila nikifanya research na nimpe fundi gani aifanye hiyo kazi naona kama haitakua long term solution, kuna mwenye ushauri mzuri zaidi ya kufanya overhaul. maana pia, nime google sana nimeona white smoke ni byproduct ya leakage ambayo inaweza ikawa inatokea kwenye head gasket au piston ring,

Hivyo basi kuna sehemu pia nimeona ukifanya overhaul ya full gasket, unaweza ukawa umetibu kwa kiasi kikubwa leakge ya oil. Pia nimeona ukitumua seal foams,kama plugs zime stuck inasaidia kutoa contamination na kurudisha performance ya gari.
All in all, gari yangu bado engine ina performy vizuri, na hakuna signal yoypte inayoonekana kwenye dashboard,. JE, nifanye nini sahihi ili nitatue taizo la oil consumption+white smoke.

Asanteni,
 
Back
Top Bottom