Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
ATF (gear box oil) haishauriwi kuibadili mara kwa mara katika mazingira ya uendeshaji wa kawaida. Unless kama zitakuwepo sababu nyingine za msingi sana za kukulazimu kubadili. Naamini hata kwenye dip stick ya gear box utakutana na maandishi yakisoma "do not change ATF under normal driving conditions'...Asante saaana kwa nafas hiyo. Mimi naomba unishauri nitumie oil gani ya engine na gearbox ambapo gari ni Toyota Premio yenye cc 1490 ya mwaka 2005 na mpaka sasa imetembea jumla ya km 71,179 na hiyo oil nibadili kila baada ya km ngap kwan wapo wanaoshaur km 3000 na km5000!!
Pia naomba unijuze ipi oil nzur kati ya Total na Castrol ambapo mm ni mkaazi wa mkoani mbeya ambapo hali ya hewa huku n baridi.
Asante boss!
Zingatia hayo...
Oil ya engine jina la kampuni halisaidii sana ila gredi ya oil husika ndio inasaidia. Kwa gari lako na mazingira ya Mbeya weka oil ya 5W30 fully synthetic... Hapo oil zenye hiyo specification ni kama Castrol, Atlantic, Puma na Total....
Mwenye thread yake atakuja na ufafanuzi zaidi