OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
- Thread starter
-
- #101
Hilo linatatulikaZONGO Ni uchawi wa wanawake wa TANGA. Yaani anakutizama tu anakuachia mzigo. Mara nyingi huwapiga watoto wachanga ili WAZAZI wahangaike.
Ni kweli mkuu.
Siku ingine kuwa makini na wanawake wa dizaini hiyo.
Elfu tano inatosha kukusambaratisha akikutana na babu mwenye akili mk
Kwel mkuu kuna demu wango kabla sijamuacha aliwahi kuniuliza Jina la Mama nikamtajia la uongo.Ni kweli mkuu.
Siku ingine kuwa makini na wanawake wa dizaini hiyo.
Elfu tano inatosha kukusambaratisha akikutana na babu mwenye akili mbovu
Imani kali ya kidini au zindiko la kienyejiKinga ya kiroho ndiyo ipo je?
Bure kabisaa ila cha moto utakiona kuchimba kutwanga sio mchezoAda ni sh ngapi mkuu?
si unawaone wakitembea wanakuwa kama wanacheza kwasakwasa!!!!Kivipi mkuu
Unatafuta kinga ya kiroho (zindiko au maombi)Kama nataka kusafiri kwenda kijijini na nina wasiwasi ya kufanyiziwa na Wachawi, nifanye kitu gani cha kunikinga mimi ambaye si mtu wa kiroho wala sipendi uchawi/ushirikina?
Kwa mfano, nataka nijikinge mimi mwenyewe bila kwenda kwa 'babu' wala kwenda kwenye nyumba ya ibada kuombewa.Unatafuta kinga ya kiroho (zindiko au maombi)
Zindiko utalipata kwa babu yeyote aliyekaribu na wewe (mtaalam) kama utataka maombi utsyapata kanisani au msikitini
Ahsante
Uchawi ni sayansi ambayo haijavumbuliwaUkianza kufatilia mambo ya kichawi...
Jua ndo ushajiingiza kwenye system aiseeee.
Hata huu upande mwingine usiwe close sana..
Wee ka unaamini amini fanya ibada sepa.
Mambo ya kutaka maono sijui hili mara lile. Unaweza jukuta unaingia kwenye mfumo ambao kutoka itakugharimu
Hapo ni ngumu mkuuKwa mfano, nataka nijikinge mimi mwenyewe bila kwenda kwa 'babu' wala kwenda kwenye nyumba ya ibada kuombewa.
Yaani siwezi kubeba kitu simple tu ambacho kinapatikana kwa urahisi ndani ya mazingira ya kawaida ninayoishi?
Una flash kwa vitu asili na si lazima uende kwa mtaalam, unaweza kutumia majani na miti kutoa.MFano kama kunauchawiii nimefanyiziwa naweza kuuflash kwa vitu asiliii
Inawezekana vizuri tu,, baadhi ya wachawi hujibadilisha na kuchukua umbo la mtu na sura yake ikatumika kufanya uchawi au kumtumia binadamu na kumfanyisha uchawi kumbadilisha watakavyo wao.Je, inawezekana mtu kuwa mchawi (anawanga kama kawaida, usiku anabadilika kuwa paka) alafu hajijui? Yaani, Kwa mfano, mtu huyo akikamatwa anasema kwamba "yeye hajijui kama anawanga au amegeuka kuwa paka". Je, hilo linawezekana kufanya mambo ya kiuchawi pasipo muhusika kujijua kama yeye ni mchawi?
Inawezekana vizuri tu,, baadhi ya wachawi hujibadilisha na kuchukua umbo la mtu na sura yake ikatumika kufanya uchawi au kumtumia binadamu na kumfanyisha uchawi kumbadilisha watakavyo wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Point yako ni ipi hasa mkuuWeee ni mchawiw?
Nataka kujua kama ww mchawi huwezi kujua ya wachawi as if ww sio mchawiPoint yako ni ipi hasa mkuu